Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,289
- 26,487
Kuipenda nchi haina maana ni kushangilia kila tamko la Rais!Ukweli siku zote huwa ni jibu sahihi,no matter how ugly it is!Elewa kuwa sio watu wote wanafurahiswa au kupendezwa na jitihada anazozifanya Raisi, lazima kuna wachache watajitahidi kuvuta Kamba kwa namna yoyote ile ili kukwaza jitihada zilizopo.
Ndio maana tunasema watanzania wote Tuwe wazalendo tuipende nchi yetu tuwashinde wasio itakia mema!