Kwani huo mtindo wa KICHADEMA ni upi?, fafanua mkuu Chakaza ili tuweze kuona tofauti, isijekuwa mtindo wa KICHADEMA ni Sawa na wa kiccm au mbaya kulikoLakini kwa mtindo wa kiccm na ndio maana ana fail.
Mkuu Kimbunga unachosema ni ukweli mtupu, mwaka jana Idara moja ya Wizara ya Mambo ya ndani ilihamia Hoteli moja Morogoro kwa mwezi mzima. Walihodhi vyumba vyote mwezi mzima walikuwa wanapishana wao tu. Akitoka huyu anakuja wa idara ile ile toka mkoa mwingine. Ikafika hatua mwenye hoteli akatengeneza temporary restaurant nje ya Hoteli kwa wateja wasiolala hapo.Mkuu toa basi na suluhisho la kutibu ugonjwa.
Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.
Elimu bure. MaybeSawa, sasa hizo pesa zilizokuwa zinatumika vibaya huko mahotelini kwa sasa hazitumiki tena, ziko wapi?
Katika kufanya biashara mostly small business huwezi hata siku moja kutojali 'influence' of politics and legal environment kwenye kazi zako za kibiashara.Wagonjwa ni sisi tuliokosa ubunifu wa kutafuta vyazo vingine vya pesa.
Wateja (serikali na watumishi wake) wamebanwa na wanatumia pesa zao kwa uangalifu kuliko zamani badala ya kulalamika kuitaka serikali irudi kwenye matumizi ya hovyo kama zamani inabidi tubuni biashara mpya, tutafute wateja wapya na mambo mengine ilituendeleze biashara zetu la sivyo hii nchi itapata recession but for the right reasons tuilishi kwenye bubble for too long.
Pasco umeua bandKama ni kuambiwa anaambiwa sana tuu! ,tatizo ni kuamini analoambiwa! .
Ukishajenga pre conceived negativity kuwa watu ni wezi!, then hata ukiambiwa hakuna any economical activities za kusisimua uchumi, utaamini watu wanaiba hizo activities!.
Pasco
Ulichokiandika ni mwendelezo wa kuamini umelogwa wakati unaumwa UTI. Aliyekuambia serena ndo kipimo cha utakatifu na zilizofungwa ndo kipimo cha wizi nani..??Mkuu toa basi na suluhisho la kutibu ugonjwa.
Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.
Wanataka waje kutusingizia hatukusali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti nchi wanazopenda mambo ya kuomba kwa MunguHilo ni moja ya matatizo. Wewe unafikiri kuna tatizo moja?
Kupandishwa kodi ni tatizo ndio.
Nchi za wanaopenda mambo ya uchumi,sio mambo kuombewa kwa Mungu. Walipoingia katika hali ngumu ya uchumi walipunguza interest rate, benki kuu za zili-slash interest rate kwenda near kamanda 0. mabenki mengine ya nchi,mabenki ya biashara, (mabenki ya wakulima, ushirika na ushirikina) nayo yalipunguza riba za mikopo kwa wateja. Hatua hii ililenga kuwahamasisha watumiaji,walaji na wajasirimali kuufanya mzunguko wa fedha uendelee. Je Serikali ya Magu wanafanya nini?
Huoni lipo tatizo,matatizo hapo?
Wanaibuka wanasema, wafanyabiasha wameficha sukari, wafanyabiasha wamehodhi fedha.
Matatizo ni mengi.
Mkulu aitishe au aunde jopo la washauri wa uchumi, awaeleze nini anakusudia kufanya kwa uchumi na apate mawazo kutoka kwa wataalamu hao, wataalamu hao wawe wa nyanja tofauti za uchumi, tena asichague wale tu watakaoimba zidumu fikra za mwenyekiti. Agonganishe mawazo yao. Vyenginevyo atatupeleka kuzimu au atatupa matumaini hewa kama kile kikombe cha babu.
Kuongoza nchi sio kupiga push up kweye jukwaa la kuombea "kula".
Tuendelee kumwombea Mkulu ili anapoutumbua uchumi autumbue in slow motion.
Hujielewi...Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............
Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!
Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!
2.Wapiga dili.
3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni
4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela
5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,
Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Je unadhani hoteli hazisitahili kupewa kazi na serikali bila kuweka hilo "dili"?Mkuu toa basi na suluhisho la kutibu ugonjwa.
Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.
Botswana inafanya hoja yako sophisticMtu Mweusi akiwa na Shibe hatawaliki
Utaliza wavivu na wezi waliozea kufuja mali za ummaNa huu umasikini utaliza wengi
Je unadhani hoteli hazisitahili kupewa kazi na serikali bila kuweka hilo "dili"?
Hili neno mkuu.Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............
Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!
Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!
2.Wapiga dili.
3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni
4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela
5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,
Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Sawa, sasa hizo pesa zilizokuwa zinatumika vibaya huko mahotelini kwa sasa hazitumiki tena, ziko wapi?
tatizo hapa ni huyo POMBE.. jinsi ya kushughulikia hizo plan ndio shiddah..Mkuu unaongelea uchumi gani? Uko kwenye micro au macro? Toa data mambo ya kitaalam hayahitaji maneno maneno. Sasa ndio tunaenda kwenye uchumi wetu halisi na si uchumi wa deal. Mnataka uchumi wa madawa ya kulevya, uchumi wa meno ya tembo, uchumi wa pembe za faru, uchumi wa watu kwenda kufanyia Board Meeting Dubai, uchumi wa training za kimagumashi huko Mbabane, uchumi wa watu kuacha ofisi zao na kwenda kuishi Girrafe Hotel kwa wiki nne ati wanaandaa strategic plan ama wanajengana uwezo? Mnataka uchumi wa kifisadi pesa kubebwa kwenye lumbesa? Let us be serious. Wacha JPM atikise na tuone uchumi wetu halisi ukoje na aanze kuujenga upya. Uchumi mnaousema si uchumi bali ilikuwa magumashi.