Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Rais Magufuli na 'mgonjwa aliyerogwa'

Utapataje Mteja mpya kwenye Serikali isiyojua inasimamia Sera zipi za uchumi yaani mtukufu kila Mwenye HELA kwake yeye ni Mwizi
Labda ameathiriwa na lile neno"ni vigumu tajiri kuingia peponi" !!
 
Kama ni kuambiwa anaambiwa sana tuu! ,tatizo ni kuamini analoambiwa! .

Ukishajenga pre conceived negativity kuwa watu ni wezi!, then hata ukiambiwa hakuna any economical activities za kusisimua uchumi, utaamini watu wanaiba hizo activities!.

Pasco
Upo sahihi ila mwaka mmoja si muda WA kufanya evaluation. Give him time naamini wengi wetu tunaomponda ni chuki binafsi kwa nchi yetu anatufaa. Hebu fikria insubordination ya Zanzibar kwa Rais WA muungano, nadhani jana Na juzi kajaribu kuipunguza. Kuna wanaotetea Viongozi kupata 80 % wakati wakiipiga vita serikali inayotafuta fedha ili wapate bila kuisaidia. Hili halikubaliki, katiba ipo kusaidia serikali iliyopo madarakani, hawa ni watu wa karibu kumsaidia. Isiwe baniani mbaya kiatu chake Dawa
 
Ndugu umewahi kumiliki Biashara yoyote hata kama ni GENGE? unasema hata KODI ipande kiasi unajua machungu ya Kodi isiyozingatia kipato halisi inavyoumiza!
Nimesema kodi kwa wenye mahotel ambao walikuww wakipiga deal na watumishi wa umma.
 
Mi nataka kuwa mkweli maana msema kweli mpenzi wa mungu,nimeficha 50,000 chini ya kodoro sijui kama nayo naujumu uchumi
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] sisi tumeishazoea maisha halali kazi kwenu wapiga dili, ukitaka kuuza nyumba nitafute[emoji30] [emoji30] [emoji30] .
Unajua mimi nafanyakazi gani?
 
Upo sahihi ila mwaka mmoja si muda WA kufanya evaluation. Give him time naamini wengi wetu tunaomponda ni chuki binafsi kwa nchi yetu anatufaa. Hebu fikria insubordination ya Zanzibar kwa Rais WA muungano, nadhani jana Na juzi kajaribu kuipunguza. Kuna wanaotetea Viongozi kupata 80 % wakati wakiipiga vita serikali inayotafuta fedha ili wapate bila kuisaidia. Hili halikubaliki, katiba ipo kusaidia serikali iliyopo madarakani, hawa ni watu wa karibu kumsaidia. Isiwe baniani mbaya kiatu chake Dawa
Acheni mawazo yakijinga....!!
 
Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Kwa mbali kama kuna kitu naona vile [emoji106]
 
EE MUNGU, NAKUOMBA KATIKA UNYENYEKEVU UPITAO WOWOTE, UNILINDIE RAISI WA NCHI YANGU JOHN POMBE MAGUFURI, ASIKUTWE NA BAYA/PINGAMIZI LOLOTE KATIKA VITA HII YA KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA KATIKA MIKONO YA KUTOJIWEZA,

UMPE NGUVU NA UJASIRI WA KUWAKABILI WANAOMKWAMISHA, WANAOMSIMANGA, WANAOMDHIHAKI, NA KUMUONA HAWEZI.

AMINA.
 
Huwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............

Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!

Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!

2.Wapiga dili.

3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni

4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela

5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,

Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Haya yote hayo yamebanwa,swali sasa;Kwanini Magufuli anatafuta mchawi kwa kusema watu wameficha fedha??????
 
Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Huo muda mfupi ni wa siku ngapi, miezi mingapi au miaka mingapi? Kumbuka usemi, kesho haifiki!
Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.
Bila shaka kwa kuwa deal kutoka serikalini hakuna tena, pesa kibao za serikali zimeokolewa au siyo? Sijui nani katuloga Watanzania, tunachezeshwa kama gumegume!
 
Kama hujui kipi kimekufanya ulete kimbelele....Fu***u&%%%:
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mbona povu, kwani mimi ndiye namtuma magu awanyonyoe????,

Mimi niko namuombea tu, na kesho nafunga kwa ajiri yake[emoji2] [emoji2]
 
" Eti wanasema safari hii sichomoi.........kwani nimechomeka nini?"-JK

[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom