Tulikua na uchumi artificial, uchumi wa dili za hapa na pale, uchumi wa kutegemea mikutano, uchumi wa kutegemea pombe na sigara ambazo kwa kiasi kikubwa vitu hivyo vimeangamiza vijana wengi ambao ni nguvu kazi ya taifa kwa kuwafanya watopee kwenye ulevi na ngono za kupindukia. Na kwa taarifa tu hizo unazoziita ni hoteli hazikua na hadhi ya kua hoteli bali zilikua ni sehemu ya kutakatisha fedha na madanguro ndo maana zinayumba na kufungwa walikua hawana marketing strategy ya kupata wateja zaidi ya kupiga dili. Sasa ndo tunajenga misingi ya kiuchumi, uchumi utakaojitegemea kwa kuwa na biashara zenye staha na sio biashara za kila mstaafu anafungua bar, grosery ama mpiga dili yeyote anaetaka kusafisha pesa anenda benk na kukopa hela za kujenga kagesti ka ghorofa tano na kuita ni hotel.Mkuu toa basi na suluhisho la kutibu ugonjwa.
Mimi naamini tulipokuwa tumefikia inabidi tuvurugane kwanza kisha mambo yakae vizuri. Sijaona Serena ikifungwa, sinaona Hyatt Regency ikifungwa. Zinazofungwa ni zile za deal, zile zilizokuwa zinategemea deal toka serikalini. Zile zilizokuwa zinategemea mikutano ya serikali kwa gharama kubwa ambazo zilihusisha cha juu!! Unakuta Ofisi nzima anahamia hotelini ili kufanyia kazi huko kwa wiki nne; wanalala, wanakunywa na kucheza muziki bili ikija ni mamilioni na waliohusika kuandaa wanachekelea njia nzima kwenda kujinyakulia cha juu.
Madaktari wame paralyzeWale "Madaktari" na wao wapo wodini jamaa anawamiminia dripu. Ngoja wapone kwanza na labda wataresume kwenye majukumu yao halisi
HashaurikiKuna vitu ukiviamini kwa asilimia 100 basi ni ngumu sana mtu mwingine kuja kukuambia vinginevyo.Ni sawa na mtu ambae anaumwa halafu anaamini 'kalogwa'
Mtu huyu hata umpeleke hospitali atakua tu bado anaamini 'kuna mkono wa mtu.
Ikitokea hospitali wamesema 'hana malaria' ndo kabisaa atazidi kuamini ni 'mkono wa mtu'.
Hadi itokee mtu mwingine ambae anaweza kumsikiliza ashauri 'hebu pima na typhoid' au 'pima UTI..' na akutwe na magonjwa apewe dawa apone ndo unaweza kidoogo kumfanya akusikilize vinginevyo watu dizaini hii wanaweza kufa au kusababisha kifo cha mtoto au ndugu anaeumwa.
Sasa hoteli zinafungwa na zingine zinauzwa, biashara zinakufa kwa wingi
pesa imepotea lakini Rais anaamini kuna 'hujuma' na dawa ni kuanza msako wa 'walioficha hela majumbani' au kuchapisha noti au kubadili noti.
Cha ajabu 'madaktari ' wetu nao wa kumwambia 'ukweli' kuhusu 'ugonjwa'
wako kiimya kabisa tunapiga ramli wakati magonjwa haya yana vipimo vyake
na dawa zake zinajulikana.
Hadi 'mgonjwa' afe ndo waje kusema ilikuwa 'typhoid'?
Sasa si 'mgonjwa atakufa'?
Kumwombea nanTuendelee kumuombea
Mgonjwa wetu kwani wewe umejua nani?Kumwombea nan
Kweli kabisaMagufuli anatekeleza ilani ya Chadema
Nyie endeleeni kuhangaika tu, tunawajua ninyi ni wanufaika wa pesa chafu ndio sababu mnapiga kelele sana. Ni zamu yenu kuishi kama mashetaniHizo unazoziita dili ni zipi? Ukiangalia semina nyingi zinafanyika si kwa fedha za ndani bali za miradi kama moja ya masharti ya kuajengea uwezo wanaoisimamia hiyo miradi ambayo fedha za ni zake wahisani. Kilichofanyika ni kuvuruga kila kitu kwa hiyo mambo mengi yamekwama kutokana na misingi ya uchumi kutikiswa. Kumbuka sio kila kubana ni kujenga uchumi kwa nchi za wenzetu ambao wana upeo mpana kuliko sisi, wakisikia mpango wa serikali kubana matumizi wanaandamana.
Kuna watu wanadhani changamoto hii ni kwa hawa tuu noo hata waliokuwa chini yao nao wanaonja joto ya jiwe itakuwa orodha ndefu sana baadae ikiunganishwaHuwezi kupata fedha kama hufanyi kazi............
Tunataka mzumguko wa fedha halali sio fedha chafu!
Walio katika hali ngumu ni ;
1.wafanyabiashara waliozoe kukwepa kodi!
2.Wapiga dili.
3.Watu wa semina na kupaa kwenda ughaibuni
4.waliokuwa wakinufaika na biashara holela
5.walio ichezea nchi yetu kama shamba la bibi,
Bora kufunga mkanda kwa muda mfupi ili tunufaike sote kuliko kila siku kuwa wasindikizaji wa matajiri wachache!
Leo ni miaka miwili kamili toka uandike uzi wako huu, na leo hii ametudhihirishia kuwa yeye ni kichaa ndio maana hata mawaziri anaowachagua kama Luhaga Mpina ni kichaaa.Kuna vitu ukiviamini kwa asilimia 100 basi ni ngumu sana mtu mwingine kuja kukuambia vinginevyo.Ni sawa na mtu ambae anaumwa halafu anaamini 'kalogwa'
Mtu huyu hata umpeleke hospitali atakua tu bado anaamini 'kuna mkono wa mtu.
Ikitokea hospitali wamesema 'hana malaria' ndo kabisaa atazidi kuamini ni 'mkono wa mtu'.
Hadi itokee mtu mwingine ambae anaweza kumsikiliza ashauri 'hebu pima na typhoid' au 'pima UTI..' na akutwe na magonjwa apewe dawa apone ndo unaweza kidoogo kumfanya akusikilize vinginevyo watu dizaini hii wanaweza kufa au kusababisha kifo cha mtoto au ndugu anaeumwa.
Sasa hoteli zinafungwa na zingine zinauzwa, biashara zinakufa kwa wingi
pesa imepotea lakini Rais anaamini kuna 'hujuma' na dawa ni kuanza msako wa 'walioficha hela majumbani' au kuchapisha noti au kubadili noti.
Cha ajabu 'madaktari ' wetu nao wa kumwambia 'ukweli' kuhusu 'ugonjwa'
wako kiimya kabisa tunapiga ramli wakati magonjwa haya yana vipimo vyake
na dawa zake zinajulikana.
Hadi 'mgonjwa' afe ndo waje kusema ilikuwa 'typhoid'?
Mkuu The Boss, we mtu wewe!. Hii ilikuwa ni September 4, 2016!. Ama kweli jf kibokoHadi 'mgonjwa' afe ndo waje kusema ilikuwa 'typhoid'?
Du ...ulitabiri vema mkuu!Kuna vitu ukiviamini kwa asilimia 100 basi ni ngumu sana mtu mwingine kuja kukuambia vinginevyo.Ni sawa na mtu ambae anaumwa halafu anaamini 'kalogwa'
Mtu huyu hata umpeleke hospitali atakua tu bado anaamini 'kuna mkono wa mtu.
Ikitokea hospitali wamesema 'hana malaria' ndo kabisaa atazidi kuamini ni 'mkono wa mtu'.
Hadi itokee mtu mwingine ambae anaweza kumsikiliza ashauri 'hebu pima na typhoid' au 'pima UTI..' na akutwe na magonjwa apewe dawa apone ndo unaweza kidoogo kumfanya akusikilize vinginevyo watu dizaini hii wanaweza kufa au kusababisha kifo cha mtoto au ndugu anaeumwa.
Sasa hoteli zinafungwa na zingine zinauzwa, biashara zinakufa kwa wingi
pesa imepotea lakini Rais anaamini kuna 'hujuma' na dawa ni kuanza msako wa 'walioficha hela majumbani' au kuchapisha noti au kubadili noti.
Cha ajabu 'madaktari ' wetu nao wa kumwambia 'ukweli' kuhusu 'ugonjwa'
wako kiimya kabisa tunapiga ramli wakati magonjwa haya yana vipimo vyake
na dawa zake zinajulikana.
Hadi 'mgonjwa' afe ndo waje kusema ilikuwa 'typhoid'?
Sasa 'mgonjwa' amekufa, na hakulogwa, ni typhoid. Nini kifanyike ili 'afufuke'?Hatari Sana mazee