Huyu bwana ni mshamba sana, Back in the days watu tulisoma bure, hata universities wanafunzi walikula mayai na mikaye na siagi bure, qalisafiri bure,..up until 1995 kama sikosei, university ilikuwa bure sio mkopo na mikopo ilipoanza ilikuwa kwa wote. Sasa huyu anatamba nini haswa?
Anataka ajifananishe na Nyerere ambae hakuwa na wasomi kabisa...walikuwa wakusaka kwa tochi, sasa hivi huyu kajaza wasomi lakini hakuna linalokwenda.
1)hakuna ajira
2)hakuna pay rise
3)hakuna kupandishwa daraja
4)hakuna kujiendeleza
5)sitiluation ya madawa bado ni ileile tena mbaya zaidi vijijini
6)likizo hakuna/hazilipwi
7)uhuru wa kuongea/dreedom of speech hakuna
8)uhuru wa kupata habari sahihi hakuna
9) uhuru wa vyama kinzani umepokwa
10)mihimili imedata...yote inapokea maamuzi ya bwana jiwe
11)upitishwaji wa sheria za kidikteta kwa haraka kwa kutumia NDIYOO ya mbogamboga
12)deni la taifa linasikitisha kwa sasa na tunazidi kukopa
13) the worse of them all, CAG report imetupiliwa mbali na madudu yanajirudia tena ya hatari sana.
Ongeza kwenye list hapo
Kusema sawa lakini KUJIMWABAFAI na vijembe kama vile alipozaliwa hajakuta reli, meli, hospitali, shule, ndege nk hapa tanzania hapana, ni ushamba!