Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Naona kujimwabafai kunaendelea, ila natarajia tutafika salama tu!
 
Mkwere alimtolea makavu mjomba jiwe kuwa tabia ya kujimwambafai si tabia ya kiongozi bora,nae jiwe jana kamjibu kwa data kuwa tangu nchi ianze kulilijengwa zahanati 70 lakini yeye ndani ya miaka minne kajenga zahanati zaidi ya 300.hii takwimu si ya kuichgukulia poa.
Magu alisahau jambo moja kuwa tangu nchi hii ianze umeme ulikuwa unakatika katika lakini sasa unakatika kwa taarifa maalumuna kwa muda maalumu,umeme umekuwa wa uhakika.Huyu jamaa akikaa miaka kumi kuna mambo itakuwa historia.
very kweli
 
Mkwere hakuna alichofanya na asijaribu kubeza zaid alicha democracy lakin uchumi zero huyu kabana Uhuru lakin taifa linasonga mbele
hizi ni porojo. Alibeza wapi? Lini? Uchumi ziro kwa data zipi? Kwani huwezi mpa sifa anazostahili JPM bila kumponda aliyemrithisha nchi?
 
Mkwere alimtolea makavu mjomba jiwe kuwa tabia ya kujimwambafai si tabia ya kiongozi bora,nae jiwe jana kamjibu kwa data kuwa tangu nchi ianze kulilijengwa zahanati 70 lakini yeye ndani ya miaka minne kajenga zahanati zaidi ya 300.hii takwimu si ya kuichgukulia poa.

Magu alisahau jambo moja kuwa tangu nchi hii ianze umeme ulikuwa unakatika katika lakini sasa unakatika kwa taarifa maalumuna kwa muda maalumu,umeme umekuwa wa uhakika.Huyu jamaa akikaa miaka kumi kuna mambo itakuwa historia.
Rubbish.Vuvuzera la jiwe hujui hata kuandika.TWAWĒZA (2016) wafuasi wengi CCM ya chattle ni mambumbumbu.
 
Hospitali ni Majengo au Huduma na Madaktari..., kama ni huduma na madaktari intake na wahitimu wameongezeka ghafla ?
 
Mkwere alimtolea makavu mjomba jiwe kuwa tabia ya kujimwambafai si tabia ya kiongozi bora,nae jiwe jana kamjibu kwa data kuwa tangu nchi ianze kulilijengwa zahanati 70 lakini yeye ndani ya miaka minne kajenga zahanati zaidi ya 300.hii takwimu si ya kuichgukulia poa.

Magu alisahau jambo moja kuwa tangu nchi hii ianze umeme ulikuwa unakatika katika lakini sasa unakatika kwa taarifa maalumuna kwa muda maalumu,umeme umekuwa wa uhakika.Huyu jamaa akikaa miaka kumi kuna mambo itakuwa historia.

Acha uongo wewe! Mpaka 2015 kulikuwa na hospital, vituo vya afya na zahanati zipatazo 5000+ nchini. Hizo takwimu zako umeziokoteza wapi?
 
Mkwere hakuna alichofanya na asijaribu kubeza zaid alicha democracy lakin uchumi zero huyu kabana Uhuru lakin taifa linasonga mbele
Yaani Uhuru unaupa nafasi gani katika maisha?J.K.Nyerere na wenzake walifanya kazi bure kupigania Uhuru?Sina uhakika unachotaka kutuambia ni kuwa Waingereza wangejenga miundo mbinu yote tungewaacha watutawale?Maswali ni mengi nikisoma comment yako muda ni mchache,naomba niishie hapo ili utiririke ulichomaanisha.
 
wewe ni mjinga,mtu kajenga barabara zaidi ya 10000km,kajenga UDOM,hospital dodoma(benjamin mkapa hospital),kapandisha mishahara zaidi ya 80%,watumishi walipanda madaraja,udahili elimu ya juu zaidi ya watu laki kwa mwaka,kaboresha muhimbili,kilimo kwanza(katoa sana ruzuku kwa pembejeo)...biashara zilifanyika kwa faida,nchi ilijengeka kwa kasi,leo uniambie alikua raisi wa hovyo,unataka nitukuze watu ambaoa unga wa sembe ulipatikana kwa foleni,nchi haikupitika masika,toka mwanza kwenda dar tukipitia uganda na kenya,biashara hazifanyiki,hata uhuru wa kutoa maoni ni shida...kadanganye wajinga wenzio

The guys is fucking fake. Hakutufaa hata kidogo.
 
Mkwere hakuna alichofanya na asijaribu kubeza zaid alicha democracy lakin uchumi zero huyu kabana Uhuru lakin taifa linasonga mbele

Una akili sana wewe.Mwacheni Mkwere apumzike tu huko aliko akila panya buku wake.
 
Jiwe anatembea na lundo la mawaziri wampambe katika ziara zake kwa sababu hajiamini! Hajui kwa kufanya hivyo ni matumizi mabaya ya fedha na madaraka!
 
Back
Top Bottom