Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Kusema sawa lakini KUJIMWABAFAI na vijembe kama vile alipozaliwa hajakuta reli, meli, hospitali, shule, ndege nk hapa tanzania hapana, ni ushamba!
Aisee
IMG_20191010_145406_052.jpeg
 
Majuto ni mjukuu,unajua wasingemkata Lowassa huyu Magufuli hata tano bora asingefika. Watu wa Lowassa walinuna wakakataa kumpigia Membe na wakampigia Magufuli kwa hasira ili wamkomeshe JK.Sasa wanaishia kwenda kuomba misamaha ikulu (Nape),mwingine kakimbia nchi. JK yeye anapiga vijembe. Haisaidii maana JPM tayari ni Rais. Na Rais wa Tanzania ana madaraka yote kama King Suleiman.

Baelezee...maana hawaelewi. Mtandao ulitumia udhaifu uliokuwepo ukachukua dola. Funzo tulilopata inatosha. Acha tunyooshwe tu
 
Kwa maendeleo Magufuli is the best President japo ana mapungufu yake.
 
Mkuu kwani wewe hupendi kufurahisha nafsi yako ?, ni kweli sisi wenginge tunafurahi tunaposikia watu superior kama JK, Pius Msekwa, Jaji Warioba Joseph Sinde, Jaji Samatta nk wanapompasha huyu rais wa sasa na kumkumbusha kufuata sharia, nafsi zetu zinafurahi.
Hawana la kumfanya mbwa hana jeuri kwa amlishaye
 
Kwa maendeleo Magufuli is the best President japo ana mapungufu yake.
Angeachana na yale madogomadogo yanayomuaribia sifa mfano kupambana na wapinzani kelele za chura zikunyime vipi usingizi?
 
Mchwa wangalipo tofauti ni vichwa
wapo lakini IC wanaipata!! shida walienea SANA kila kona kisa uungwana!! sema magu yuko peke yake kama wapo wanamsaidia basi ni kwa mbaali!! ilakini amseti example!! KIKWETE Hapana a big NOOOOOO na hata wa aina yake
 
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa zahanati, barabara, elimu bure nk!
Akiwa nje ya Ikulu hajiamini.
Subiri kwenye vihotuba vya Ikulu akiwa anaapisha au kupokea report zake hewa. Hapo atabwabwaja tu.
 
Pamoja na mapungufu mengine mengine ya mchato japo anabadilika ila isiwe sababu ya uchaguzi kulinganisha na alivotuburuza miaka ya mwanzo.Nchi hii Ina majizi hatari bila kunyooka nao atuendi mfano mkandarasi anapewa bilioni 9 apeleke maji wilaya fulani yeye ananunua mabus ana jenga maghorofa mradi akamilishi unafia njiani watu wanakufa kwa kukosa maji.Huu ni ubinafsi Wa kiwango cha juu watu kama hawa ni wauaji mtu mmoja anaumiza zaidi ya watu 2000 hapo hata mimi namuunga mkono mchato alale nao mbele wezi hawa na sio kupambana na wapinzani.Hatowezawamaliza wapinzani kwa kupambana nao ila anawezawamaliza wapinzani kwa kupiga kazi na kuboresha maisha ya watu wachini.
 
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa zahanati, barabara, elimu bure nk!


Hata kama angemtukana ni sawa tu kwani jamaa (Kikwete) alikuwa very useless mpaka watu ndani ya chama chake walimchoka.
 
Back
Top Bottom