JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,481
- 18,270
Atuambie hayo madege aliyonunua,ukilinganisha na deni tunalodaiwa,je tumepiga hatua?Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!
Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa zahanati, barabara, elimu bure nk!
Kama unamiriki gari na nyumba,vyenye thamani ya millioni 200,harafu benki inakudai millioni 500,wewe ni maskini na umeishafirisika.