Hivyo wanachambana au nyie ndio mnawachambanisha..?
Hiyo fom awajaze familia yenu na ukooI wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena
JPM anawakomesha,wanajuta kumkata Lowassa.Malipo ni hapa hapa duniani.
Mwambie nyerere alinunua ndege 12...Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru! Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Mkuu nimecheka sana
Umeniibua kwa hiki Kiswahili kipya
Respect !!!
JF ni benki ya vipaji vya aina zoteHivyo wanachambana au nyie ndio mnawachambanisha..?
Naungana mkono na wewe, hivi hakuna namna yeyote JK anaweza kumuwajibisha huyu rais wa sasa asiye na staha kwa watangulizi wake ??I wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena
Escrow?I wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena
Kuna baadhi ya maneno yanamchoma JK kama sindano!Tatizo la Tanzania kwa sasa ni uwepo wa mentality ya ''udaku na michambo''.
Watu wanashangilia na kufurahia sana pale ambapo kuna ''udaku na michambo''!
Kuna wengine wanajaribu hata kupindisha ujumbe ili tu wauingize kwenye dhana ya ''mchambo'' kwa matumaini ya kuridhisha matamanio na furaha zao.
Kwa mtu asiyemjua Mzee Kikwete na Rais Magufuli anaweza kukubali kuwa kuna ''masigano'' au kujibidhana!
Ningeshangaa kama usingejitokeza mheshimiwa motochini.Hiyo fom awajaze familia yenu na ukoo
Mkuu kwani wewe hupendi kufurahisha nafsi yako ?, ni kweli sisi wenginge tunafurahi tunaposikia watu superior kama JK, Pius Msekwa, Jaji Warioba Joseph Sinde, Jaji Samatta nk wanapompasha huyu rais wa sasa na kumkumbusha kufuata sharia, nafsi zetu zinafurahi.Tatizo la Tanzania kwa sasa ni uwepo wa mentality ya ''udaku na michambo''.