Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
wapi mwambie aache kujimwambafay
 
Tatizo la Tanzania kwa sasa ni uwepo wa mentality ya ''udaku na michambo''.

Watu wanashangilia na kufurahia sana pale ambapo kuna ''udaku na michambo''!

Kuna wengine wanajaribu hata kupindisha ujumbe ili tu wauingize kwenye dhana ya ''mchambo'' kwa matumaini ya kuridhisha matamanio na furaha zao.

Kwa mtu asiyemjua Mzee Kikwete na Rais Magufuli anaweza kukubali kuwa kuna ''masigano'' au kujibidhana!
Na mwakani ataingia ulingoni kumuombea kura
 
Jk hakuna alilofanya la maana na nchi hii hairakiwi kumkumbuka kwa lolote acha karma ya fitna na roho mbaya naye imtafune
Hamna au kwa vile alikua hana kamera nyuma nyuma??
Debe tupu......(malizia)
 
Mkuu kwani wewe hupendi kufurahisha nafsi yako ?, ni kweli sisi wenginge tunafurahi tunaposikia watu superior kama JK, Pius Msekwa, Jaji Warioba Joseph Sinde, Jaji Samatta nk wanapompasha huyu rais wa sasa na kumkumbusha kufuata sharia, nafsi zetu zinafurahi.
[/QUOTE. Magu chuma kijana PAMBANA NA HALI YAKO ; alafu namashaka na wewe nahisi huna hata kazi upo upo tu
 
Hi
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
hivi elimu na afya ni bure!?....nchi gani!?
 
JPM anawakomesha, wanajuta kumkata Lowassa. Malipo ni hapa hapa duniani.
Today you have spoken lots of sense, wish i could get you a dinner of tilapia fillet and grilled potatoes and red wine to go with, baraka tele kwako
 
Boss Ileje Hilo halina ubishi na mjadala, Tatizo ni kuwabeza ... Watangulizi wake.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusema ufanyalo/ afanyalo na kuwananga aka kuwabeza Watangulizi.

Mh. Rais piga kazi Baba.

Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
 
Hakika kundi kubwa sana la wa2 wameathirika kwa uongoz mmbov uliopita,,, weng watanzania wanataka maisha ya iba na sisi tuibe,,, lakin kwa sasa wamekaziwa wanaona wanaonewa na wanataman viongoz wao wapenda bata na maamuz yasiyo yakinifu warudi tena,,,,, iv mnawakumbuka vyura wa vihansi,,?? Je vp tanzanite,,??,,,
 
Hiyo fom awajaze familia yenu na ukoo
Hata kipindi cha kikwete ulikuwa na post za hivi hivi na ulimuita chaguo la Mungu ccm nu takataka wanaharibu ubongo wa vijana huwez kuwa na fikra huru kwamba unaaamini magufuli kafanya vizur kumshinda nyarere? Ndege zote mitumba zimepak bado mnatetea uharo
 
Back
Top Bottom