Mkwere alimtolea makavu mjomba jiwe kuwa tabia ya kujimwambafai si tabia ya kiongozi bora,nae jiwe jana kamjibu kwa data kuwa tangu nchi ianze kulilijengwa zahanati 70 lakini yeye ndani ya miaka minne kajenga zahanati zaidi ya 300.hii takwimu si ya kuichgukulia poa.,Magu alisahau jambo moja kuwa tangu nchi hii ianze umeme ulikuwa unakatika katika lakini sasa unakatika kwa taarifa maalumuna kwa muda maalumu,umeme umekuwa wa uhakika.Huyu jamaa akikaa miaka kumi kuna mambo itakuwa historia.Povu mpaka matapishi ruksa