Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

wapo lakini IC wanaipata!! shida walienea SANA kila kona kisa uungwana!! sema magu yuko peke yake kama wapo wanamsaidia basi ni kwa mbaali!! ilakini amseti example!! KIKWETE Hapana a big NOOOOOO na hata wa aina yake
Jk ni bora kwwenye hekima ya uongozi shida alishindwa wadhibiti wezi.Kuwepo kwa demokrasia sio uhuru Wa kila kitu hadi upigaji hata nchi za demokrasia ukipiga wananyooka na wewe in positive ways pia wao wameelimika na kustaarabika huwezi kuta mkandarasi anaendekeza ubinafsi wa kupiga kuliko kuangalia faida kwa jamii, unakuta eti ki karavati akifiki hata milioni 2 bajeti yake kimetumia milioni 70.Tukidhibiti upotevu fedha za umma tutafika.
 
Kusema sawa lakini KUJIMWABAFAI na vijembe kama vile alipozaliwa hajakuta reli, meli, hospitali, shule, ndege nk hapa tanzania hapana, ni ushamba!

Hivyo vyote visingekuwepo angekuwa hapo alipo? Ili afike hapo alipo, alizaliwa hospitali (I suppose) ametibiwa toka utotoni, amesoma mpaka chuo kikuu kilichokuwa bora kabisa Africa, amefanya kazi kama mwalimu n.k. Anapata wapi jeuri ya kutoa hayo matusi tena hadharani? Kwa haya yanayomtoka kinywani mwake ninadhani huyo ndugu anahitaji msaada wa haraka because this is not normal kabisa.
 
Jk ni bora kwwenye hekima ya uongozi shida alishindwa wadhibiti wezi.Kuwepo kwa demokrasia sio uhuru Wa kila kitu hadi upigaji hata nchi za demokrasia ukipiga wananyooka na wewe in positive ways pia wao wameelimika na kustaarabika huwezi kuta mkandarasi anaendekeza ubinafsi wa kupiga kuliko kuangalia faida kwa jamii, unakuta eti ki karavati akifiki hata milioni 2 bajeti yake kimetumia milioni 70.Tukidhibiti upotevu fedha za umma tutafika.
Za kuambiwa changanya za zako! Vinginevyo thibitisha bila shaka kama ulishuhudia!
 
Hata kama angemtukana ni sawa tu kwani jamaa (Kikwete) alikuwa very useless mpaka watu ndani ya chama chake walimchoka.
mnavyoongea kuhusu jk mpaka mnatuchosha,mnadhani hatukuwepo wakati wa utawala wake!!!?..ngosha mwenyewe alisema bila jk asingekua laisi..hapajawahi tokea kiongozi kama jk nchi hii,kiuongozi,kijamii na kiuchumi
 
Duh hivi JPM seriously anaamini kabisa kwamba ndani ya miaka yake minne kaleta maendeleo kuliko miaka 50 ya uhuru?
Data ndio zinaongea mkuu. Umeme mpaka sasa ni 1500MW yeye anajenga 2100mw, vituo vya afya vimezidi vya miaka 50, umeme vijijini vijiji vimeunganishiwa kuliko mda wowote etc. Data zinaongea sio yeye
 
Data ndio zinaongea mkuu. Umeme mpaka sasa ni 1500MW yeye anajenga 2100mw, vituo vya afya vimezidi vya miaka 50, umeme vijijini vijiji vimeunganishiwa kuliko mda wowote etc. Data zinaongea sio yeye

Sasa si angalau akamilishe kwanza?

Maana nikikwambia orodhesha hivyo vituo. vya afya vilivyokamilika na vinavyotoa huduma alivyojenga hutaweza kuorodhesha 20
 
Jk hakuna alilofanya la maana na nchi hii hairakiwi kumkumbuka kwa lolote acha karma ya fitna na roho mbaya naye imtafune
Wote na huyu hawawezi kufanya chocho...Akili za watu wengi mnazikabizi kwa wanasiasa. Walipa kodi ndo wanafanya chochote kila kinachofanyika nchini...iwe Marekani,Uingereza nk
 
Duh hivi JPM seriously anaamini kabisa kwamba ndani ya miaka yake minne kaleta maendeleo kuliko miaka 50 ya uhuru?

Hapana; hajadai hivyo. Mimi nadhani JPM anachoamini ni kwambà yeye ndiye amekuwa na uthubutu wa kujenga bwawa la Stiegler's gorge ndani ya Selous na kupuuza kelele za dunia nzima! Yeye pia ndiye aliyethubutu kuchagua kuwekeza fedha nyingi kwenye ndege licha ya ukosoaji mkubwa.
 
Sasa ndege ndo unaona big deal?

Hata JK alithubutu kujenga daraja la Kigamboni, Malagarasi na Kilombero. Madaraja ambayo mwalimu aliyaweka kwenye plan lakini hakuweza kuyajenga
Umewahi kusikia JK akijitapa kwa hilo?
 
Anawakomesha vipi ebu fafamus kidogo
Ulishawahi ona Rais anaetokana na CCM anawaponda viongozi wenzake wa CCM waliopita? Kina Nape wapo wapi? Kinana. Tu ne sais pas que le gouvernement CCM comment gouvernait auparavant?
Œuvre tes yeux.
Kasikilize kwanza ile voice note za Kinana na Nape. Sikiliza walivyokuwa wanalalamika. Yaani walivyokomeshwa. Brefs ils ne sont plus contents de gouvernement JPM.
 
Data ndio zinaongea mkuu. Umeme mpaka sasa ni 1500MW yeye anajenga 2100mw, vituo vya afya vimezidi vya miaka 50, umeme vijijini vijiji vimeunganishiwa kuliko mda wowote etc. Data zinaongea sio yeye
Nyinyi Huyo Kibwengo Wa Chato Kawaroga Kabisa.

Eti Umeme Wa 2100, Unahesabu Vipi Vifaranga Wakati Mayai Hayajaanguliwa ?

Umeme Wa REA Vijijini Ni Mwendelezo, Wa Msaada Na Wala Haukuanza Awamu Hii.

Sasa Huyo Takataka Kuchota Hela Hazina Na Kununua Ndege Zinazotia Hasara Kila Leo Ndo Anaona Bonge La Project ?

Huyo Takataka Alipaswa Kuwa Mirembe
 
Sasa ndege ndo unaona big deal?

Hata JK alithubutu kujenga daraja la Kigamboni, Malagarasi na Kilombero. Madaraja ambayo mwalimu aliyaweka kwenye plan lakini hakuweza kuyajenga
Umewahi kusikia JK akijitapa kwa hilo?

Awamu ya tatu ilipoingia madarakani nchi ilikuwa hoi kiuchumi. Kazi kubwa ilifanyika kimya kimya kiasi kwamba baada ya miaka kumi kila raia alikuwa na tabasamu. Serikali haikujisifu na hata wapambe hawakurusiwa kusifu. Ingawa awamu ya nne haikujisifu iliruhusu wapambe kusifu na hapo ndipo tulipoanza kupoteza njia. Kwa mara kwanza tuliona raia wakijiteaua kuwa wasemaji wa serikali! Nadhani sasa tunao maelfu ya waimba sifa wanaolipwa kwa kodi zetu!
 
Back
Top Bottom