Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,954
- 8,923
Inatamkwa " Umwambafi" au "Umwambafai" ?Umwambafy sio kitu kizuri
Inatamkwa " Umwambafi" au "Umwambafai" ?Umwambafy sio kitu kizuri
Kuna kesi iko mahakamani inapinga uko wa muhula wa uraisi; nadhani kama mkulima akishinda Kikwete atakuwa huru kuchukua fomu. By the way sijala mchana nasinziaI wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena
Kusema sawa lakini KUJIMWABAFAI na vijembe kama vile alipozaliwa hajakuta reli, meli, hospitali, shule, ndege nk hapa tanzania hapana, ni ushamba!Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru! Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Hii dhana ya kifikra tu ambayo unaijenga wewe kwa sababu fikra zako umezielekeza huko!Kuna baadhi ya maneno yanamchoma JK kama sindano!
Chema si huwa kinajiuza?.Mbona sasa kinatembezwa!!!.Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru! Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Mkuu;Mkuu kwani wewe hupendi kufurahisha nafsi yako ?, ni kweli sisi wenginge tunafurahi tunaposikia watu superior kama JK, Pius Msekwa, Jaji Warioba Joseph Sinde, Jaji Samatta nk wanapompasha huyu rais wa sasa na kumkumbusha kufuata sharia, nafsi zetu zinafurahi.
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!
Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Nyerere na mjerumani walishayafanya hayo ccm ikaviuaAmesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!
Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa dispensaries, barabara, elimu bure nk!
Kuna baadhi ya maneno yanamchoma JK kama sindano!
Huyo Kibwengo Kachanganyikiwa, Hayuko Sawa !Duh hivi JPM seriously anaamini kabisa kwamba ndani ya miaka yake minne kaleta maendeleo kuliko miaka 50 ya uhuru?
KujimwambafaiDuh hivi JPM seriously anaamini kabisa kwamba ndani ya miaka yake minne kaleta maendeleo kuliko miaka 50 ya uhuru?
Wanampoteza Huyo mzeeIssue ni Makundi hakuna kingine
Chato?