rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,980
Kwamba tunawachambanishaa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hivyo wanachambana au nyie ndio mnawachambanisha..?
Kwamba tunawachambanishaa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hivyo wanachambana au nyie ndio mnawachambanisha..?
Mkuu mbona neno la kawaida..Kwamba tunawachambanishaa???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Wee Muhenga huwa unasoma kimya kimya bila kukomenti? una post chache sanaMkuu nimecheka sana
Umeniibua kwa hiki Kiswahili kipya
Respect !!!
NashukuruInasemekana Sirro alizaliwa 1963 na Magu alizaliwa 1959.
Hivyo wanachambana au nyie ndio mnawachambanisha..?
Umeme ni kazi ya mkwere[emoji23][emoji23][emoji23]Mkwere alimtolea makavu mjomba jiwe kuwa tabia ya kujimwambafai si tabia ya kiongozi bora,nae jiwe jana kamjibu kwa data kuwa tangu nchi ianze kulilijengwa zahanati 70 lakini yeye ndani ya miaka minne kajenga zahanati zaidi ya 300.hii takwimu si ya kuichgukulia poa.,Magu alisahau jambo moja kuwa tangu nchi hii ianze umeme ulikuwa unakatika katika lakini sasa unakatika kwa taarifa maalumuna kwa muda maalumu,umeme umekuwa wa uhakika.Huyu jamaa akikaa miaka kumi kuna mambo itakuwa historia.Povu mpaka matapishi ruksa
Zahanati zipo,je watenda kazi wapo?bora jk alijenga chache lakini huduma safi,kwa sasa takwim zinaonyesha katika sekta yenye huduma mbovu ni ya Afya.Mkwere alimtolea makavu mjomba jiwe kuwa tabia ya kujimwambafai si tabia ya kiongozi bora,nae jiwe jana kamjibu kwa data kuwa tangu nchi ianze kulilijengwa zahanati 70 lakini yeye ndani ya miaka minne kajenga zahanati zaidi ya 300.hii takwimu si ya kuichgukulia poa.,Magu alisahau jambo moja kuwa tangu nchi hii ianze umeme ulikuwa unakatika katika lakini sasa unakatika kwa taarifa maalumuna kwa muda maalumu,umeme umekuwa wa uhakika.Huyu jamaa akikaa miaka kumi kuna mambo itakuwa historia.Povu mpaka matapishi ruksa