Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Acha ushamba.. haya ndio madhara ya kusikiliza TBC1
Watangulizi wanatakiwa wakae kimya. Huko USA rais ukimaliza muda wako mara nyingi hutakiwi kulumbana na iyeko madarakani. Trump anamchamba Obama kila kukicha lakini hamjibu. Kama ulishindwa kutimiza wakati ukiwa madarakani basi acha aliyepi afanye kazi bila kuingiliwa
 
Kikwete aliwekeza katika watu, JPM anawekeza katika vitu. JK amejenga km mkoa hadi mkoa nyingi lakini JPM anamaliza viporo navingine havijasogea. Kikwete kama aliingia una mshahara Wa 400000/_ amestaafu ukiwa na mshahara Wa 1,600,000/_ (four times) . miradi aliyokamilisha kikwete JPM haiwezi na tunaambiwa ni pesa ya ndani wakati deni LA taifa linapaa chini ya awamu ya tano. Ngoja afikie kikomo cha kutokukopesheka ndio kilio na kusaga meno tukipate wote. .wakati huo hata mishahara itakuwa shida . Na hata kama atakamilisha hiyo SGR na Stiegler's umeme no kwa gharama ya kutoangalia maslahi ya wafanyakazi hajaongeza kitu. Mshahatra Wa kikwete ndio tunao hadi Leo. bahati njema jamii yetu ni ya watu wavivu kutafakari na kutambua ukweli. BTW ni kuwa JPM anatimiza wajibu wake , lakini sio vizuri sana kiasi cha kukejeli waliomtangulia. Ni Wa kawaida sana hana sifa anazopewa eti wenzie hawjafnya kitu. Ninatofautiana na wale mnaoimba matamshi ya mtawala aliyepo ili mpate ugali Wa Leo. Ni matter of priority yake , ninahofia kama ataongeza muda Wa uongozi eti akamilshe alivyoanzisha wakati rohoni mnaomba amalize mihula aondoke aje mwenye vipaumbele kam JK apandishe mishahara.
JPM tatizoa lake anataka kuabudiwa sana.

Hiwezi kusema hakija fanyika kitu toka uhuru. Kama kichwa chako hakija korogeka.
 
I wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena

Labda atakuwa anahitajika na Watanzania ' Wendawazimu ' na ' Wanafiki ' ila siyo Watanzania ' Makini ' na wasiopenda ' Ujinga ' na ' Upumbavu ' uliokuwepo katika Awamu yake ya 2005 hadi 2015.
 
Pls kikwete usiturufishe enzi hizo, I'm sure kama Kikwete angetawala miaka mingine mitano zaidi nchi hii vijana wengi wangekuwa mateja , madawa ya kulevya yalukuwa tele tz, tembo wote wangekwisha, kikwete alifail mambo mengi , muache Magufuli afanye kazi.
 
Saa hizi anakula mwenyewe na hataki hata kufuatwa fuatwa na CAG
As long as we see at least some tangible things. Sasa hela unakopa kwa watanzania halafu unapeleka uswisi na Dubai.
They should be ashamed aisee
 
I wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena
Hatutaki akina Vasco da Gama,hizi ni enzi za kazi na sio kutalii kwenda kutembeza kibaba kama ombaomba,pia hatutaki kurudi enzi za akina Lugumi,au unanijua mimi kwenye mabaa,Magu kula 20 tena hadi vyuma vinyooke
 
Kusema sawa lakini KUJIMWABAFAI na vijembe kama vile alipozaliwa hajakuta reli, meli, hospitali, shule, ndege nk hapa tanzania hapana, ni ushamba!
Alipozaliwa!..wapi?...ungesema alipokuja hakuvikuta?maana alikuja keshazaliwa uko ninihi..
 
Labda atakuwa anahitajika na Watanzania ' Wendawazimu ' na ' Wanafiki ' ila siyo Watanzania ' Makini ' na wasiopenda ' Ujinga ' na ' Upumbavu ' uliokuwepo katika Awamu yake ya 2005 hadi 2015.
Popoma mwandamizi katika ubora wako.

Povu ruksa
 
Mkuu kwani wewe hupendi kufurahisha nafsi yako ?, ni kweli sisi wenginge tunafurahi tunaposikia watu superior kama JK, Pius Msekwa, Jaji Warioba Joseph Sinde, Jaji Samatta nk wanapompasha huyu rais wa sasa na kumkumbusha kufuata sharia, nafsi zetu zinafurahi.
Lile faili mwl alilompa Paul Sozigwa ampelekee mwinyi bado liko ikulu?
 
Mda si mrefu utasikia Membe katemwa anakaribishwa mtu mwingine tena, wapinzani ni maopportunist mno. hawawezi kufanya siasa bila kuitegemea ccm.
Huu upuuzi anaosema magufuli kwamba toka uhuru hakikufanyika chochote ndo siasa za ccm siku hizi au una maanisha nini mkuu hapa? Kwamba hiyo PhD yake aliipatia chini ya mti na alijipa mwenyewe kwa kuwa hapakuwa na madarasa ,lecture theater wala walimu na wahadhiri wa kumfundisha kwa kuwa hapakuwa na mtu wa kujenga wala wa kusomesha watanzania.Huyu mtu ukimfuatilia sana unaweza ukahisi tunaongozwa na mteja wa milembe hospital
 
I wish 2020 JK achukue fomu, ni kama TZ inamuhitaji tena
Kwani ni nani aliesababisha jamaa kuwepo ikulu
Alietukatalia rasimu ya katiba je
Alievuruga chaguzi hasa ule wa Zanzibar 2015
No thank you!
 
Back
Top Bottom