Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

2020 inakuja, anayeona anaweza kuchambisha jpm achukue form yeye mwenyewe au vibaraka wake. kelele za nini?
 
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa zahanati, barabara, elimu bure nk!
Maendeleo hayakuanza leo, tangu uhuru nchi inapiga hatua, nani anabisha?
 
JPM anawakomesha, wanajuta kumkata Lowassa. Malipo ni hapa hapa duniani.
Yule mzee alitia huruma sana pamoja na mapungufu yake kama binadamu.

Kitu pekee nilichompendea JPM ni kutochagua upande, kuna uwezekano pia alikuwa anamkubali sana Lowassa.
 
mimi kinachoniuma ni pale napoona mtu mmoja kujifanya yu bora kuliko wa Tz zaidi ya milion 55 as if yeye alishushwa toka mbinguni.. upuuzi mtupu na ulimbukeni usio na kichwa wala miguu.. ndo wameshindwa kujitapa akina Trump na ndo nchi zao tajiri
 
Amesema ataendelea kusema kwa maendeleo yanayofanyika katika miaka hii minne kulinganisha na miaka zaidi ya hamsini tangu uhuru!

Maendeleo ya ununuzi wa ndege, ujenzi wa zahanati, barabara, elimu bure nk!
Mwaka kesho pogba na kikwete wakichukua form za kugombea Urais.
Kikwete atachukua ushindi asubuhi na mapema.
 
Mzee wa chato anakosea anapotaka kujiona bora kuwashinda Nyerere, mwinyi mkapa na kikwete.
kama kwamba Wenzie hawajafanya cha maana katika uongozi wao
 
Tatizo la Tanzania kwa sasa ni uwepo wa mentality ya ''udaku na michambo''.

Watu wanashangilia na kufurahia sana pale ambapo kuna ''udaku na michambo''!

Kuna wengine wanajaribu hata kupindisha ujumbe ili tu wauingize kwenye dhana ya ''mchambo'' kwa matumaini ya kuridhisha matamanio na furaha zao.

Kwa mtu asiyemjua Mzee Kikwete na Rais Magufuli anaweza kukubali kuwa kuna ''masigano'' au kujibidhana!

KUJIBIDHANA DHANA DHA MAWE!
 
Watangulizi wanatakiwa wakae kimya. Huko USA rais ukimaliza muda wako mara nyingi hutakiwi kulumbana na iyeko madarakani. Trump anamchamba Obama kila kukicha lakini hamjibu. Kama ulishindwa kutimiza wakati ukiwa madarakani basi acha aliyepi afanye kazi bila kuingiliwa
Imeshatokea mara kadhaa Obama huwa anampinga Trump. Recheck your facts
 
Kabla ya uchaguzi, wewe si ndiye uliyekuwa unamfagilia sana huyu JK, na kuwaponda kwa kila jina baya waliokuwa wanamsema vibaya?
Wewe na Lemutuz hamna tofauti.
Hawa watu bongo zao zilishanyofolewa pale lumumba. Vichwa vyao vimebaki empty tu
 
Back
Top Bottom