dedon
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,507
- 2,058
Dsm ilikuwa inaundwa na manispaa nne Kinondoni, Ilala, Ubungo na Kigamboni
halmashauri ya jiji la dsm ilikuwa inasimamia halmashauri za manispaa zote nne lkn haina eneo lake rasmi la kiutawala, halmashauri ilikuwa na uwezo kuuchukua mradi wowote katika manispaa yyte na kuendeleza na kugawana manispaa inayopatikana mradi kwa utaratibu maalum
hvyo alichokifanya ni sahihi tu

Naomba msaada wa kueleweshwa hapa wakuu, hii ina maana gani na itakuwa na tofauti gani na ilivyokuwa mwanzo, pia faida zake hasa kwa sisi tunaoishi kwenye hilo Jiji linaloitwa Ilala kwa Sasa?
Msaada pls hapa nimestuck.
Sijaelewa tafsiri ya uvunjaji huo ...nini maana yake kusema ilala ndio jiji la dar es salaam