Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

Habari wadau , naona mji wa kibaha umeingiliwa na dar , watu wengi wanafanya kazi dar , wanaishi kibaha na miwili moja , kwanini isirudishwe dar es salaam , halafu chalinze iwe makao makuu ya nkoa wa Pwani
Wazo zuri saana ndio maana mkoa wa pwani haukui kwakuwa unamezwa na Dar
 
Back
Top Bottom