The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,401
- 12,986
JK alipiga safari kutoka Namibia kuwahi mazishi ya Sheik Yahya halafu unategemea akose haya??? Hivi Mazishi ya yule mbunge wa CDM Musoma (Sijui Wange) alihudhuria pia??
Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
Wewe na nani???Bora iwe hivyo...tutegemee Slaa kuingia mitini!!
There isn't any problem, there is a "Yes But..." kama ulisnisoma vyema...I still don't see what/where the problem is!
Nakuunga mkono ushirikiano uwe muda wote hasa hasa kwa kushirikiana kuleta maendeleo sio misibani tu huu ni unafiki na ninauchukia.Kwenda kwenye misiba kama hiyo ingekuwa sawa na utendaji kwa maslahi ya Taifa basi tungekuwa mbali sana!
Haya mambo ya kisiasa si sawa na mambo ya kifamilia, tunataka kuona ushirikiano bora kati ya viongozi kwenye kutuletea maendeleo, na hayo mengine ya msiba, harusi nk, yatakuwa ya ziada tu.
Hii PR yote ni kwasababu wanataka tu kunufaika kisiasa mbele ya macho ya watanzania, lakini ukweli uko wazi, wangekuja pamoja nyakati zote na si za msiba tu.
Hapo ndo msimamo wangu ulipo, kwamba amekwenda na ni jambo jema, yes, but...
Wewe na nani???
Zingatia matumizi ya umoja na wingi/singular and plural.
Wanabodi,
Tuendelee kupeana pole kwa msiba huu wa Regia, Rais Jakaya Kikwete, atawaongoza umma wa Watanzania katika maziko ya mpendwa na shujaa wetu Regia Mtema yatakayofanyika Ifakara siku ya Jumatano.
Kwa mujibu wa ratiba ya ziara ya rais Kikwete mkoani Morogoro, ratiba hiyo inaonyesha rais Kikwete atahudhuria maziko hayo siku ya Jumatano.
Bora iwe hivyo...tutegemee Slaa kuingia mitini!!
Mimi naongea kama taasisi!Wewe na nani???
Zingatia matumizi ya umoja na wingi/singular and plural.
Achana na wachawi kama kina REJAO,wao kwenye msiba wamefanya sehemu ya kuji show pumbavu sana hawa.
Ni heshima kubwa sana kwa dada yetu Regia kusindikizwa kwenye makazi yake ya milele na rais wa nchi.we kichaa sana, mambo ya msiba unaleta siasa
Ibada ya mazishi ya kamanda Regia itaongozwa na Paroko/Padre au Askofu wa Kanisa Katoliki.Baba,Mama Dada,Bibi,Viongozi wa CDM na Rais Kikwete pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serekali watahudhuria katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Regia.
JK alipiga safari kutoka Namibia kuwahi mazishi ya Sheik Yahya halafu unategemea akose haya??? Hivi Mazishi ya yule mbunge wa CDM Musoma (Sijui Wange) alihudhuria pia??
Culture za wenzetu zimeshageuka ila sisi tunarudi nyuma, wezetu wanasaidiana kwenye issue za maendeleo zaidi tu ya misiba na harusi pekee, hiyo spirit hatuna!
Kwa wenzetu hata jirani akifiwa sometimes unaweza usijue, lakini tatizo la kijamii likiwepo lazima ujuwe, sisi tuko opposite!
Ni kurudi nyuma kama ni misiba peke yake na huku issue za kimaendeleo hatumo, again take your time and read, nimesema "Yes But..."Sio lazima tuwe kama wao kwenye kila kitu.
Jambo la kufarijiana katika misiba ni jambo jema sana. Na kufarijiana kwenye misiba si kurudi nyuma.
Bora iwe hivyo...tutegemee Slaa kuingia mitini!!
Ni kurudi nyuma kama ni misiba peke yake na huku issue za kimaendeleo hatumo, again take you're and read, nimesema "Yes But..."
Culture yetu ya kujidai misibani na maharusini peke yake mimi siifagilii hata chembe.
Na huu unafiki wa kusema si lazima tufanane kwene kila kitu na wakati ukiufuata ubepari ndo hizi confusions...?
Kama tunachagua some cultures, basi i am sorry kusema tunazichagua zile mbovu zaidi...