Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Sijasikia ushiriki wa CUF, NCCR MAGEUZI na TLP katika msiba huu wa marehemu mh. Regia.
Nafikiri tusipoteze mantiki ya hii thread kwa ajili ya kulijadili hili suala. Tumeshaona tayari kuwa kuna uhasama baina ya hawa watu. Tusubiri, labda huu msiba unaweza kuwaunganisha!
Unaposema msiba huu unaweza kuwaunganisha kwani ni lini walitengana? au ni lini walikuwa pamoja?Nafikiri tusipoteze mantiki ya hii thread kwa ajili ya kulijadili hili suala. Tumeshaona tayari kuwa kuna uhasama baina ya hawa watu. Tusubiri, labda huu msiba unaweza kuwaunganisha!
yaani wewe ukiambiwa unafikiria kwa kutumia masaburi/kiungo chako nyuma apo katikati ni sawa kabisa.mijtu mingine bana.Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
je wajua sababu zake za kuhudhuria kila msiba? lord have mercy!JK anashiriki misiba mingi sana na kwa hilo mimi siwezi kubania kumpa hongera zake.
Bado sijapofushwa na unazi au itikadi za kisiasa hadi kutoona hata yale mema ambayo mtu uliye tofauti naye anayafanya.
Ni jambo jema kabisa lisilo na ubaya wowote ule.
je wajua sababu zake za kuhudhuria kila msiba? lord have mercy!
wewe ukifa unastahili kutupwa porini kama mbwa tu.Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
Sijawahi kumsikia kumwona JK akiwa benet na msiba,kama ambavyo amefanya sasa me najiuliza anatafuta nini?
Yule mzee wako ana hasira sana na rais! Mpaka leo hii toka akose kura za kutosha kumfanya awe rais, amekuwa frustrated. Kila mahali amekuwa akimkimbia rais!Uhasama??
Una uhakika unachokinena??
Viandishi vya kibongo utaviweza??
wakuu,tuache bangi za kuvuta kwa kujificha kama huyu mwenzetu....ona sasa ilivomharibu akili.Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
Viongozi wa CDM waliangalie hiklo, JK anatafuta kujikweza hapa baada ya mambo mengi ya nchi kumshinda. CDM wasimruhusu JK ku-steal the show katika shughuli hiyo na wajaribu kumbana kidogo aonekane kama ni muombolezaji wa kawaida tu. CDM wajitahidi kuonyesha kwamba huu msiba ni wa familia ya Regia, Chadema na Bunge, kwa mpangilio huo.
Bora iwe hivyo...tutegemee Slaa kuingia mitini!!
So then whats your point "Hahudhurii kila msiba!"?Hahudhurii kila msiba!
Rudi upya.
Huwezi kusema haudhurii kila msiba halafu umsifie kwa kuudhuria msiba huu.
Haileti mantiki kwa upande wako, ni heri ungekubaliana na wanaosema anahudhuria kila msiba, hilo lingekusadia.
Unajionyesha ulivyo unstable.
Ni kweli hakuna ubaya, ni kweli pia kuwa ni mbinu ya kisasa.