Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Mimi naongea kama taasisi!
Usipende kusahihisha jambo usilolijua!
Taasisi ya THT?????
Mimi naongea kama taasisi!
Usipende kusahihisha jambo usilolijua!
Duh!Hakuna ubaya wowote ule kufarijiana katika misiba! None, zero, zilch, nada!
Ni hoja ya kulazimisha tu hiyo.
Watu wengine bwana sijui wakoje..........Hongera sana JK kwa uamuzi wako wa kuhudhuria mazishi ya Dada yetu mpendwa Regia (RIP)
Sio lazima tuwe kama wao kwenye kila kitu.
Jambo la kufarijiana katika misiba ni jambo jema sana. Na kufarijiana kwenye misiba si kurudi nyuma.
Usijisumbuwe, kuna some stuff wont get in...NN,
Kwa siasa za nchi hii, sitoshangaa kusikia ccm na serikali yake wanajitafutia credit kwa kuongoza mazishi ya marehemu mh. Regia.
Na hii ndiyo tofauti ya sisi na wao, na tunapoiga basi mara nyingi tunaiga ya kijinga na kuacha ya maana.
NN,
Kwa siasa za nchi hii, sitoshangaa kusikia ccm na serikali yake wanajitafutia credit kwa kuongoza mazishi ya marehemu mh. Regia.
Na hii ndiyo tofauti ya sisi na wao, na tunapoiga basi mara nyingi tunaiga ya kijinga na kuacha ya maana.
Teh teh teh...
Nani kasema wana akili?
Wewe ndo unavyofikiri?
Wakifanya hivyo basi nitawaona hawana akili kabisa! Lakini kama wanashiriki kwa nia njema ya kuwafariji wafiwa sioni sababu yoyote ile ya kuanza kukosoa.
Ili mradi hawajafanya hivyo hatuwezi kuanza ku second guess their intentions.
NN,
Bado tuna kumbukumbu ya yaliyojiri baada ya kifo cha marehemu Mh. Chacha Wangwe ndio maana kila kinachofanywa na ccm na serikali yake tunakitazama kwa tahadhari zote.
You are such an a-hole :lol::lol:
Now I know you will start foaming at the mouth.
Bora iwe hivyo...tutegemee Slaa kuingia mitini!!
NN,
Kuna thread nilikuwa nasoma, jamaa akawa anasema yeye anajibu pumba kwa pumba, moto kwa moto, hoja kwa hoja na jiwe kwa jiwe. Bila shaka huko ndiko mnataka kuelekea na JMushi1.
Twendeni taratibu wakuu, bado hata hatujampumzisha mwenzetu, tujitahidi kujizuia japo kwa kipindi hiki kifupi.