Rais Kikwete kuongoza maziko ya Regia Mtema!

NN,

Kuna thread nilikuwa nasoma, jamaa akawa anasema yeye anajibu pumba kwa pumba, moto kwa moto, hoja kwa hoja na jiwe kwa jiwe. Bila shaka huko ndiko mnataka kuelekea na JMushi1.

Twendeni taratibu wakuu, bado hata hatujampumzisha mwenzetu, tujitahidi kujizuia japo kwa kipindi hiki kifupi.
Huko siendi tena mkuu, huwa ananivutia huko, mimi nimegunduwa ni too low, asipoelewa huwa nampotezea, lakini kuogopa mtu kamwe siogopi.

Akitaka hoja atapata, akitoka out namwacha aende...
 
Huko siendi tena mkuu, huwa ananivutia huko, mimi nimegunduwa ni too low, asipoelewa huwa nampotezea, lakini kuogopa mtu kamwe siogopi.

Akitaka hoja atapata, akitoka out namwacha aende...

Huna lolote wewe. I cut you down to size a little while ago.

Weka hapa basi hizo hoja zako tuende toe to toe. Bring it boy.
 
Huna lolote wewe. I cut you down to size a little while ago.

Weka hapa basi hizo hoja zako tuende toe to toe. Bring it boy.
Lol!

Mi nakuacha uende ukirudi kinyume nyume mi si michezo yangu hiyo, ntakupisha.

Issue hapa ni cultures, nimegunduwa thats why kuna wanaojiita wasomi bado wanafuata culture mbovu ie wanaume kutokutairiwa nk.

Mimi pointi yangu iko pale pale kuwa tunaiga negative cultures na bado tunazikeep zile negatives ambazo bado tunazo.

Kuhusu JK kama rais wa nchi alichofanya nilishasema si jambo baya.
 
:lol::lol::lol:
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, JK yuko hivyo alivyo kabla hajawa Rahisi, JK ni mtu social sana na ndio sababu ya yeye kufeli kuongoza nchi, JK ni mtu anaehudhuria sana misiba na hii ndio tabia ya kiuungwana, sikubaliani na yeyote yule atakayemdhiaki JK kwenye hili.
 
J K kwa kuhudhuria misiba namkubali, Nawish angeweza kufuatilia mambo ya maendeleo ka misiba tungekuwa mbali
 
Haya naachana naye huyo maana kanizidi akili na werevu (source: yeye mwenyewe).

Turudi kwenye mada. Bado kabisa sijauona ubata wa JK kushiriki katika msiba wa marehemu Regia. Nishawishi basi ili nami niuone huo ubaya.

Nimesema tangu awali kwamba hakuna ubaya wowote kwa JK kuhudhuria mazishi ya Regia.

Ni suala la tahadhari tu kwamba ccm na serikali yake wanaweza kuwa wanatafuta credits kupitia msiba huu. Na hii ni kwa sababu ya uzoefu wa siasa zetu za Tanzania. Watu wanajijenga kisiasa kupitia maafa mathalani vifo na mafuriko.
 
Sijawahi kumsikia kumwona JK akiwa benet na msiba,kama ambavyo amefanya sasa me najiuliza anatafuta nini?

Credit/Sympathy. Na ameshaanza kuzipata kama unavyosoma hapa. Any credit is desperately needed for him right now rather than no credit at all. At least this is how I see it. Msiba wa Regia the talk is about JK!? Wengi wa CCM wamekwenda e.g. Wasira, Pinda etc sio JK pekee; why is he even the talk? Mbona ni kawaida kabisa kwa raisi kwenda kwenye msiba wa mbunge. All and all we can paint ourselves in any way we want lakini; God sees it; and one day everything will come out, everything; even vitu ambavyo hatukutegemea will ever come out.
 
Nimesema tangu awali kwamba hakuna ubaya wowote kwa JK kuhudhuria mazishi ya Regia.

Ni suala la tahadhari tu kwamba ccm na serikali yake wanaweza kuwa wanatafuta credits kupitia msiba huu. Na hii ni kwa sababu ya uzoefu wa siasa zetu za Tanzania. Watu wanajijenga kisiasa kupitia maafa mathalani vifo na mafuriko.

Kuhusu JK labda anatumia fursa hii kujijenga kisiasa hilo bado sijashawishika nalo kwa sababu yeye ni lame duck sasa hivi.
 
Kuhusu JK labda anatumia fursa hii kujijenga kisiasa hilo bado sijashawishika nalo kwa sababu yeye ni lame duck sasa hivi.

Kwa namna chadema inavyokipeleka mchakamchaka ccm na serikali yake, amini usiamini JK lazima atafute sympathy katika msiba huu.

Nadhani ni heri tuachie tu hapa ili ukweli utakapodhihiri basi kila mmoja akumbuke uzi huu. Kwakuwa kila mmoja ana kitu anachokiona hadi kushawishika kuwa na msimamo alionao.
 
Back
Top Bottom