CCM tayari ina muundo wake wa kuchaguwa watia nia na si lazima Rais ayapitie - Kumbuka hilo.
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Maandishi yako yanafanana na ya MANGEKIMAMBI!!! isijekuwa wewe ndio Mange...Hapo Chacha
Fedha za kulipa madai ya wafanyakazi hazipo! Fedha za kulipa wakandarasi ambao wanakabiliwa na vitisho vya kufilisiwa na mabenki hazipo!!Hela za posho kwa walimu wapya hakuna! za kwenda kuaga zipo!!!!
Inasikitisha, na inatia aibu kwa kweli. Mimi nilidhani haya mambo yana pangwa mapema, na sio kumdhalilisha mkuu wetu namna hii
Well Said !!Wazungu huwa wanatushangaa sana nafikiri wanashangaa zaidi rais wa nchi nyingine kupoteza muda kuaga wananchi wa nchi nyingine ambao hawakumpigia hata kura moja, kazi hii inatakiwa kufanywa na balozi zetu au kama ni lazima basi waziri wa mambo ya nje angewakilisha.
Hakukuwa na haja ya rais kuzunguka dunia angetumia muda huu kukagua ahadi zipi alizoahidi hazijatekelezwa na nini kifanyike.
Fedha za kulipa madai ya wafanyakazi hazipo! Fedha za kulipa wakandarasi ambao wanakabiliwa na vitisho vya kufilisiwa na mabenki hazipo!!
Lakini fedha za kwenda kuaga washikaji zipo bwelele!!!! Nchi ya ajabu sana hii!!!!
Yule mama aliyekuwa busy kupiga selfie kwenye msiba wa Mandela ndo waziri mkuu wa Dernmark?pole Raisi wetu inaonekana hauna umuhimu kwao,angekuwa OBAMA asingezuiliwa,hiyo kampeni ni mbwembwe tu,sema WAZIRI MKUU YUPO BUSY NA KAMPENY KAONA ATAPOTEZA MUDA WAKE TU
Wewe unasikiliza porojo za mleta mada? sanasana itakuwa ameambiwa aende ukisha uchaguzi kidiplomasia.
Kuchaguwa=Kuchagua
Wewe unachojua ni L na R tu,jifunze!