Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Kweli jk tishio mpaka tume ya uchaguzi wamehofu uwepo wake unaweza kuvuta watu wengi kwa mgombea wa chama tawala.
 
Mafaili gani wewe? na hao watangaza kura wote wanajulikana na wengi kama si wote yeye ndiyo bosi wao kwa sasa, labda atokee asiyejulikana.

Hata iwe kuna mafaili, hivi mnafikiri siku hizi bado watu wanakimbizana na mafaili ya makaratasi? Ofisi sasa hivi ni popote.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Ulimbukeni ni shidaaa!!!!
Vikao vinaendeshwa kwa makaratasi na mafaili na siyo laptops na smartphones!!!
 
hahahahhaa aje na Jamii Forum kuaga hahahahahaahaa kweli ndio maana kila mtu kakimbilia kuaga
huo ni UTAMADUNI wetu !! tunapenda kuomba KUKARIBISHWA,KUSALIMIA,KUSHUKURU na KUAGA mda mwingine tunalazima FADHILA !!
 
kujidanganya huku ndiko huwa kunatupotosha.

hoja sio raisi wetu ana nguvu ya kushawishi watu kule wampigie kura bali ugeni katika kipindi hiki unaweza unaweza kumpa raisi nafasi ya kutupa makombora mengi kwa wapiga kura kupitia ziara ya viongozi.

lakini unahitaji busara sana kulichambua hili maana linaweza kuwa na lugha ya kidiplomasia lakini pengine sababu zake zinaweza kuwa ukizijua unachukia kabisa. ukitafakari yaliyowakumba wanaofanana na sisi tena wenye msaada mkubwa kule kwenye viwanja vya mpira kutokana na kufanana na sisi wapo wanaoweza kutotake chances, anything can happen at this time na inaweza kuingilia mzani wa uchaguzi.

hivyo kwa kuwa hatujui undani tusijisifie au kulaumu bali kukubali matokeo tu kama yalivyo.

Watanzania wenzangu tujisifu kupata rais makini kiasi hiki.

Kama Tume ya Uchaguzi ya Denmark imehofia kuwa rais wetu Kikwete akiingia Denmark kipindi hiki cha uchaguzi basi anaweza kusababisha raia wa Denmark wampigie kura mgombea ambaye atakuwa na rais Kikwete.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Kikwete.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh.

Sasa hayo maneno yaandike kama ulivyoandika wewe halafu tamka mara tatu kwa sauti huku unajisikiliza, jibu utalopata. Ucheke tu wewe mweyewe, huna haja ya kunielezea, nnalijuwa.

Nnalijuwa=ninalijua
 
Atatafuta nchi nyingine ya kutembelea, mpk ndege imuishie mafuta siku moja ndo atakoma, eti anaenda kuaga
 
Ulimbukeni ni shidaaa!!!!
Vikao vinaendeshwa kwa makaratasi na mafaili na siyo laptops na smartphones!!!

Sasa nyimbo imebadilika, si mafaili tena ni vikao? Unanchekesha!

Hivyo vikao vya CCM unajuwa vipo lini? na uliona kikao kinachohitajika Mwenyekiti kuwepo akakosekana?

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga? mnasikitisha sana jinsi mlivyo finyu wa kuelewa.
 
Hivi ni kuyia nia au kutangaza nia?
Maana kutia nia (kunuia), ni jambo la moyoni (kimya kimya), halafu ndiyo unaitangaza nia yako!
Mwenyr ufafanuzi anisaidie
 
Maskini Tanzania bakuri la wahisani limetoboka baada ya serikali kugubikwa na rushwa, hadi mnikulu kuonyesha rushwa ni chai ya asubuhi tu kwa walioizoea wana CCM wameona ni kawaida .
 
Tamka kwa sauti hilo neno ulivyoandika mara tatu huku unajisikiliza, jibu baki nalo, mimi nnalijuwa.

Huwa sikisii.

Kwamba ukitaka kupata neno la kiswahili kwa ufasaha ni kulitamka mara tatu,sauti itakayopatikana tayari ni neno fasaha!kweli
Zile shule zetu Zile za elimu ......, ni majanga!
Haya tamka "kikusikitishacho" mara tatu halafu umba neno na aanza kulitumia kama mbadala!Hii kali
 
Back
Top Bottom