Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Habar njema hii,huwez jua kodi za walalahoi kias gani zingepotea hapo Denmark kwa malaz,chakula na posho
 
A question and a half.....
Sisi sio wahisani, ni wahasiniwa

Lakini wahisaniwa si marafiki? Kama wanatupa hisani maana yake ni marafiki zao why hawaji kutuaga Kama mkulu anavyofanya?
 
Full kihelehele.......na hivi vyombo vya habar vijifunze, viache kununuliwq nunuliwa na wagombea.........sijui proffecionalism iko wap Africa?
 
Akae atulie nyumbani kwake. Anaaga kwani anakufa? Ndio anatumia yale mabilioni yaliyotengwa kwajili ya hizi ziara za kij....
 
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark .....
Mkuu lusungo, naomba rekebisha Kiswahili, Jee ni amezuiliwa au amekataliwa kuingia Denmark?!.

Kuzuiliwa ni pale alipoamua kuingia bila ruhusa, halafu yeye na msafara wake ukazuiliwa kwenye entry point!.
Kukataliwa ni pale MFA ilipotuma NV (Note Verbale) kuomba JK aje kuaga, akakataliwa kistaarabu kutoka na uchaguzi!.

Which is which!, kuandika kuwa amezuiliwa is as if Rais Kikwete alitaka kuingia Denmark kama anaingia chooni na kukutana na zuio!. Tueleze which is which?!.

Pasco
 
Ndugu Pasco

Nenda karejee misamiati ya kiswahili yamkini utapata tafsiri na dhana pana juu ya katazo au zuwio....

MTU aweza weka zuwio juu ya jambo Fulani mfano kuingia ndani au zuwio la kufanya jambo kwa maandishi...

JK alikuwa kwenye ziara za kuaga huko nchi za Scandinavia na Denmark ilikuwa miongoni mwao hivyo akazuiwa...

kuzuiliwa si lazima urudishwe malangoni laa unaweza kupewa zuwio hata la maandishi...

Kukataliwa ni neno Kali zaidi kuliko kuzuiwa Kama hujui.... Rais hawezi kukataliwa isipokuwa anaweza kuzuiliwa kwa sababu mbalimbali...
 
Last edited by a moderator:
Huu muda angeutumia kutatua changamoto kuliko kuupotezea hewani sijui mafaili ya watia nia atayapitia lini aisee....

CCM tayari ina muundo wake wa kuchaguwa watia nia na si lazima Rais ayapitie - Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
CCM tayari ina muundo wake wa kuchaguwa watia nia na si lazima Rais ayapitie - Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Yeye ni mwenyekiti Wa chama na rais Wa nchi...

lazima ajpe muda Wa kuwachunguza na kuwasoma kiundani watia nia Wa chama chake

Leo umebanwa kwenye kona mkwere wako amechezwa shere!!!
 
Najiuliza na wao wakimaliza uongozi wanakujaga kuaga?
Wazungu huwa wanatushangaa sana nafikiri wanashangaa zaidi rais wa nchi nyingine kupoteza muda kuaga wananchi wa nchi nyingine ambao hawakumpigia hata kura moja, kazi hii inatakiwa kufanywa na balozi zetu au kama ni lazima basi waziri wa mambo ya nje angewakilisha.

Hakukuwa na haja ya rais kuzunguka dunia angetumia muda huu kukagua ahadi zipi alizoahidi hazijatekelezwa na nini kifanyike.
 
na hii inaonyesha jinsi gani Kikwete asiposoma alama za nyakati...anadhani kwamba kuingia nchi za watu ni kama kuingia chooni kama ambavyo amekuwa akiwaruhusu hata watu wapuuzi kumtembelea ikulu? mpuuzi mkubwa!
 
Back
Top Bottom