Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,504
- 42,577
- Thread starter
- #101
Mbilikimo wa fikra ni wewe uliyekuja na uzushi na kupindua pindua maneno. Umeulizwa swali na Pasco ukapinduwa pinduwa.
Unajuwa maana ya "kuzuiliwa kuingia"? amezuiliwa airport ipi ya Denmark au mpaka upi wa Denmark?
Hivi unafikiri watu wote humu ni mapunguani kama wewe?
Watakao-kuunga mkono kwenye huu upotoshaji ni mapunguani wenzako tu, wasiojielewa kama wewe.
Wewe ndiyo wale wale "viwanda vya uongo".
Punguani wahed.
kuzuiwa maana yake nini?
unapoambiwa "umezuiliwa kwa muda kutumia Huduma hii" maana yake nini?
Ukiona tangazo linasema ' ZUIO LA MUDA KUTUMIA HUDUMA AU SEHEMU HII' kunamaanisha nini?
Pasco amependekeza labda lingetumika neno 'amekataliwa' ndo lingefaa sasa Kati ya kukataliwa na kuzuiwa lipi zito?
Mfano nikisema Rais amezuiliwa kwenda Tanga kwasababu za kiusalama na nikisema kakatazwa lipi zito na lipi jepesi?? hivi kwenye mafuvu yenu ya kichwa mmejaza nini?
Ikiwa alitaka kwenda sasa akaambiwa asiende mpaka uchaguzi upite hilo ni KATAZO au ZUWIO la muda? rais anaweza kukatazwa au kukataliwa??
Una upeo duni Sana mithili ya ngili ktk uelewa we ndorobo....
Last edited by a moderator: