Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

IVi kuaga ni selected countries au zote ambazo tuko na mahusiano nazo
Maana dah iyo budget yake sasa maumivu tuu
 
Kikwete anatisha!

Hata uzunguni wamemuogopa? Kuwa anaweza kuwa kichocheo cha wazungu kumpigia kura amtakae yeye.

Kwa hakika hii ni sifa kubwa sana na ni historia kama ni kweli.

Hebu muoneeni Huruma jamani JK inamgharimu Sana kuzungukwa na mbilikimo Wa fikra Kama nyinyi!!!!
 
Chukulia aibu ya kwenda sehemu na kuzuuliwa sijui alijisikiaje au ndo alicheka kinafiki sema mkuu naye wizara ya mambo ya nje kaisaidia kazi kuliko wizara zote angesaidia wizara ya elimu tungekuwa mbali
 
Kikwete anatisha!

Hata uzunguni wamemuogopa? Kuwa anaweza kuwa kichocheo cha wazungu kumpigia kura amtakae yeye.

Kwa hakika hii ni sifa kubwa sana na ni historia kama ni kweli.
Sidhani kama kuzuiwa kuingia nchi fulani ni sifa nzuri hasa kwa mkuu wa nchi, tukio hili ni fedheha nafikiri hata yeye amejisikia vibaya.

Nchi za wenzetu zinafuata demokrasia ya kweli, zinatoa nafasi sawa ya coverage kwa vyama vyote hata vile vidogo, kitendo cha yeye kualikwa na chama tawala wakati huu wa uchaguzi na kuoneshwa kwenye media za taifa kungetafsiriwa kama kampeni.

Demokrasia hiyo haipo Tanzania nawapongeza Denmark kwa kuonyesha jinsi demokrasia inavyotakiwa kuwa.
 
IVi kuaga ni selected countries au zote ambazo tuko na mahusiano nazo
Maana dah iyo budget yake sasa maumivu tuu

Budget yake ingetosha kununua dawa pale MSD!!!
 
Muda huu mkuu wa kaya anapaswa kutulia aweke mambo sawa tukiwa tunaelekea uchaguzi mkuu.
 
Sidhani kama kuzuiwa kuingia nchi fulani ni sifa nzuri hasa kwa mkuu wa nchi, tukio hili ni fedheha nafikiri hata yeye amejisikia vibaya.

Nchi za wenzetu zinafuata demokrasia ya kweli, zinatoa nafasi sawa ya coverage kwa vyama vyote hata vile vidogo kitendo cha yeye kualikwa na chama tawala wakati huu wa uchaguzi na kuoneshwa kwenye media za taifa kungetafsiriwa kama kampeni.

Demokrasia hiyo haipo Tanzania.

Marekebisho kwenye red mkuu; hakualikwa ameenda mwenyewe kwa mapenzi yake.....
 
si angelala lodge tu jamani mbona wana myanyasa ivo wkt yye anawapenda " pole JK na wewe wakija wazuie
 
Sidhani kama kuzuiwa kuingia nchi fulani ni sifa nzuri hasa kwa mkuu wa nchi, tukio hili ni fedheha nafikiri hata yeye amejisikia vibaya.

Nchi za wenzetu zinafuata demokrasia ya kweli, zinatoa nafasi sawa ya coverage kwa vyama vyote hata vile vidogo kitendo cha yeye kualikwa na chama tawala wakati huu wa uchaguzi na kuoneshwa kwenye media za taifa kungetafsiriwa kama kampeni.

Demokrasia hiyo haipo Tanzania.

Wewe unasikiliza porojo za mleta mada? sanasana itakuwa ameambiwa aende ukisha uchaguzi kidiplomasia.
 
lusungo umeandika kwa ufasaha, good job

Shukrani Mkuu...

Hapa kwetu mambo msobe msobe tuuu

Watu wanajipitisha na kupitishwa kwa wakuu hakuna anayekatazwa ingawa kitendo hicho hakitoi haki kwa wagombea wengine!!!
 
Last edited by a moderator:
Wewe unasikiliza porojo za mleta mada? sanasana itakuwa ameambiwa aende ukisha uchaguzi kidiplomasia.

Sasa Kama kaambiwa aende ukiisha uchaguzi sio kuzuiwa?? hivi umejaza nn huko kwenye ushungi??
 
Hebu muoneeni Huruma jamani JK inamgharimu Sana kuzungukwa na mbilikimo Wa fikra Kama nyinyi!!!!

Mbilikimo wa fikra ni wewe uliyekuja na uzushi na kupindua pindua maneno. Umeulizwa swali na Pasco ukapinduwa pinduwa.

Unajuwa maana ya "kuzuiliwa kuingia"? amezuiliwa airport ipi ya Denmark au mpaka upi wa Denmark?

Hivi unafikiri watu wote humu ni mapunguani kama wewe?

Watakao-kuunga mkono kwenye huu upotoshaji ni mapunguani wenzako tu, wasiojielewa kama wewe.

Wewe ndiyo wale wale "viwanda vya uongo".

Punguani wahed.
 
Hahahahahah Jamaa walitaka kutumia GAS ya Mtwara kama kete ya Kuombea KURA ....
 
Wewe unasikiliza porojo za mleta mada? sanasana itakuwa ameambiwa aende ukisha uchaguzi kidiplomasia.
Kama ameambiwa aende baada ya uchaguzi kwa hiyo kubaliana kiungwana tu na mleta mada kuwa kazuiwa maana asingezuiwa leo angekuwa Denmark.
 
Yeye ni mwenyekiti Wa chama na rais Wa nchi...

lazima ajpe muda Wa kuwachunguza na kuwasoma kiundani watia nia Wa chama chake

Leo umebanwa kwenye kona mkwere wako amechezwa shere!!!

Wewe CCM na jinsi wanavyofanya kazi inakuhusu nini? Siyo kampuni ile kama chadema kuwa Mwenyekiti ndiyo kila kitu. Mwenyekiti ana wakati wake na watendaji wengine wana yao ya kufanya.

Huijuwi CCM, unafikiri ni saccos ya Ufipa ile?
 
Ni vile tu wengi wetu tunayabeba haya mambo juu juu, lakini hii ni fedheha na aibu kwa taifa letu.
1. Inawezekanaje Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aende nchi hiyo bila kuwa na mawasiliano baina ya serikali ya Denmark na ubalozi wa Tanzania huko?
2. Lini sisi tumeona Rais wa Marekani, Waziri Mkuu wa Uingereza au hata huko Netherlands, Denmark na kwingineko kuja kuaga huku kwetu? This man is not serious kabisa, anaaga huko wakati hakumhusu badala ya kudeal na issues zinazowakabili watanzania yeye anapuyanga tu Ulaya...
3. Mbaya zaidi, unakuta watu wanasifu up.umbavu huo...
Ndio maana hata wananchi siku hizi kupata visa kwenda abroad ni tatizo, kama mwenye nyumba hajiheshimun na kazi yake kuzurura tu.. unategemea watu wapate vizakweli!
 
Back
Top Bottom