Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 860
Kwa hiyo ameishia uwanja wa ndege akageuza kuelekea nchi nyingine? Mbona majanga!
Ameenda kumuaga Zuma
Kwa hiyo ameishia uwanja wa ndege akageuza kuelekea nchi nyingine? Mbona majanga!
Nadhani wewe ndiye uliyesomea ujinga!!!CCM tayari ina muundo wake wa kuchaguwa watia nia na si lazima Rais ayapitie - Kumbuka hilo.
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Hivi bajeti ya Rais 2014-2015 iliandaliwa kwa Rais kwenda kuaga wahisani?
Tufikie mahali Watanzania tusiingie gharama zisizo za lazima.CCM ndipo walipotufikisha
Hakuwa na mualiko??!!!
Hakuwa na mualiko??!!!
"waage" ili iweje? ni mandondocha ya kitanzania tu ndiyo yanajipendekeza kwenda kuaga. nchi hii ni kama vile inaongozwa na wendawazimu.
Nasikia yupo South Africa, hivi hizi safari zake zimeshafikia ngapi mpaka sasa?
Inaelekea hakua nao, labda alimpigia cm akiwa airport kuwa kazuiwa, na akaambiwa ni sawa kabisa. Uswahili hauna mipaka ukikozoea basi utaambatana nao tu.
Nadhani wewe ndiye uliyesomea ujinga!!!
JK kama mwenyekiti atakayeongoza vikao vya maamuzi lazima apitie hayo mafaili ile awe na uelewa mkubwa kabla maamuzi kutolewa!! Haiwezekani mambo yaliyomo katika mafaili yamchukuwe by surprise!!!!!
Mkuu Rais Wa nchi halazimiki kuwa na mwaliko pia ziara hii ni yeye ndo kajipeleka ati kuwaaga wahisani wetu....
So hakuitwa kaenda mwenyewe kwa mapenzi yake.....
anazunguka nchi zote hizo kuaga??
hehehe kweli sisi ni slaves kwa hawa jamaa.
Tulienda kuwaomba watusaidie, hawakuja kutuomba watusaidie.Lakini wahisaniwa si marafiki? Kama wanatupa hisani maana yake ni marafiki zao why hawaji kutuaga Kama mkulu anavyofanya?
Mmh haaatariii. . . . (kwa sauti ya tangazo la Ndorrrrrrrooobo)