Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Alishapitia faili gani huyu? Hana huo muda ndio maana katufikisha hapa tulipo we huoni sasa kila mtu ni msemaji wa serikali, angekuwa anapitia mafail asingekuwa anatoa maamuzi ya hovyo, kura ya maoni haikuwa kazi yake lakini karopoka iko wapi? Huu muda angeutumia kuwaomba radhi watanzania kwa kuwadhoofisha kiuchumi wakati rasilimali zetu zinazidi kwisha.
Daaah kumbe magufur tuna mpakazia tu kaharibu uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom