Hii ni fedheha ya magamba peke yao!! Sasa kama kazuiliwa kuingiz Denmark maana yake alilala airport?
Magamba ndo watakua wameaibika wenyewe sio sisi
Hii ni fedheha ya magamba peke yao!! Sasa kama kazuiliwa kuingiz Denmark maana yake alilala airport?
Yule utamweza hata birthday anazamia
Hivi na wao huwa wanakuja kutuaga?
Hakuwa na mualiko??!!!
Huwa sikisii.
Kuendelea kubishana na mjinga kama wewe ni shidaaa!!!Sasa nyimbo imebadilika, si mafaili tena ni vikao? Unanchekesha!
Hivyo vikao vya CCM unajuwa vipo lini? na uliona kikao kinachohitajika Mwenyekiti kuwepo akakosekana?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga? mnasikitisha sana jinsi mlivyo finyu wa kuelewa.
Inaelekea hakua nao, labda alimpigia cm akiwa airport kuwa kazuiwa, na akaambiwa ni sawa kabisa. Uswahili hauna mipaka ukikozoea basi utaambatana nao tu.
Kwa hiyo anarudi au ndio kashatafuta nchi ingine ya kwenda?
= uthibitisho
Uthibiti na udhibiti na maneno mawili tofauti - kumbuka hilo.
Panga?! Duh! Haya!!
Amezidi kuhangaika nchi za watu, eti anaenda kuaga! kuaga ili iweje? Hii tabia ya kuaga nchi za nje imeanza lini? Mbona Mwalimu hakwenda kuaga nchi za nje? Tayari deni la Taifa liko 40 trillion hizi safari zisizo na Tija nchi za nje hazihusu kitu.
Arudi home sweet home aone jinsi liccm linavyochacha kila siku asiwakimbie wenzie. amefeli vibaya na ameingia historiani atakumbukwa vizazi na vizazi kwa uongozi dhaifu kutowajibika na ubadhirifu mkubwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu katika utawala wake.