Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,515
- 42,646
- Thread starter
- #21
Huko hata asijaribu nako watamzuia tu, wamkaribishe wa nini wakati hatakuwa tena na manufaa kwao? Watamshauri aage kupitia ubalozi wao.
Huu muda angeutumia kutatua changamoto kuliko kuupotezea hewani sijui mafaili ya watia nia atayapitia lini aisee....