Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Sasa nyimbo imebadilika, si mafaili tena ni vikao? Unanchekesha!
Hivyo vikao vya CCM unajuwa vipo lini? na uliona kikao kinachohitajika Mwenyekiti kuwepo akakosekana?
Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga? mnasikitisha sana jinsi mlivyo finyu wa kuelewa.
Sio nyimbo imebadilika, ni wimbo umebadilika