Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,471
- 29,928
Tuna hamu sana maaana hao mawaziri pamoja huyo JK ndiyo waliotufikisha hapa tulipo.Jamani Baraza ndio maisha?Mbona naona watu mnasubiri kwa hamu kana kwamba
JK anataka kutangaza bei mpya za vyakula!hapo hata mie ninge shoboka.