TBC wameweka ngoma ya jadi fulani....au hii ni ngoma ya utamaduni wa kikwere? naona watu wamevaa magunia tu[/QUOTE
Hahaha! nyie mnapasua vichwa kwa hii serikali ya kubahatisha, ngojeeni hilo baraza lake mkulu kama hamjachanganyikiwa, hana nyimbo huyo.
Jamani mboana muda unazidi kusonga nini kinasubiriwa tena?? ......au Nkulo bado yupo nje ya Dar
Hii ngoma inayoonyeshwa tbc1 ni ya wapi?
subirini big news....Najua watu wengi watakurupuka kushangilia kama walivyoshangilia tume ya katiba halafu kesho yake wakaanza kutia huruma
dunia dunia ni pana sana eee,
dunia eee ina mambo mengii (x3)
bila pesa eee utaishi vipi
ndugu nawaambiaaa duniaa duniaa..
wenye pesa aaah sio wenzetuu..
Nawe upo viwanja vya ikulu.?