Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
dah!hii ndo tanzania,hata ikulu!saa 9,saa 10 sasa saa 11 sijui mwisho wake nini,....ngoja tuone
 
kuna uwezekano hata Jk hajui kama kuna wanahabari wanamsubiri aisee.... Unajua hawa wakuu wa ikulu wana kiherehere sana na wanavyomuogopa ****** na wanavyofaham kwamba jamii inasubiri nini kutoka ikulu basi wamesikia maagizo vibaya kwamba waite wahariri na wanahabari wengine.... SI MNAKUMBUKA YULE mkurugenzii wa ngorongoro na gari la wagonjwa??
 
jamani sasa waoneshe nini kama preziiiiii kachelewa kuingia kikaoni?
 
Du TBC1 IMEWEKWA NGOMA INGINE TENA...nilidhani nitaona "Mungu Ibariki Afrika!":
 
subirini big news....Najua watu wengi watakurupuka kushangilia kama walivyoshangilia tume ya katiba halafu kesho yake wakaanza kutia huruma

Funguka kidogo mkuu!!😛opcorn:
 
wenyee pesa aaaah wanatesa kwa zamu..
lakini pesaa ni sabuni ya roho..

kaka na wewe umeshapigia Simu toka IKULU kuwa umeteuliwa??

Mbona unashangilia kwa nyimbo za Furaha na ikiwa kuna Mawaziri wana huzuni muda huu.

CCM INAKUFA POLEPOLE HUKU IKIJIONA KAMA MTU ALIYECHOMWA SINDANO YA SUMU!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Siku JK akiwahi mkutano nipo inabidi mshangae, akichelewa ni kawaida kabisa wala msiwe na haraka, huyo ndio Mkwer.e halisia. No Hurry in Africa
 
Charles Kitwanga asipopewa uwaziri kamili mods nipigeni ban mwezi mmoja.

na akipewa mjuwe hakuna jipya; ni yaleyale majizi ya taifa hili.
 
Tuseme pale ikulu kuna waandishi kama 50
Halafu tuseme kuna wananchi wako kwenye kompyuta wanfuatilia hii hoja kama 600
halafu kama wananchi wengine kwenye runinga kama 100,000
Jumla 100,650
Tukuzidisha kwa lisaa limoja hayo ni masa 100,650 ambayo mkuu wa nchi ameyapoteza. Sawa na siku karibu 4200 ambayo ni sawa na miaka 11.5

mkuu raisi wetu akifikia kufkiria kwa uwezo huo basi maisha bora kwa kila mtanzania yatawezekana.
 
Afadhali wamechelewesha mpaka nitoke ofcin, ngoja nifungefunge nitoke then ikulu wapewe ruksa kuanza 'live cast'
 
Saa nzima inakatika! Vyombo vya habari vimekatisha matangazo ya kawaida lakini hakuna la maana. Siku nyingine rais akisusiwa na vyombo vya habari atalalamika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom