Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
jamani wanasema subira yavuta heri,lakini sasa kwangu si heri tena

lakini wengine walisema mvumilivu hula mbivu,s
kwangu imekuwa si mbivu tena zimeoza,hata GB zangu nilizo nunua zimekwisha kunani huko? ama hadi kesho tena? usikute waliitwa kwa lengo la kumtangaza huyo mbunge mpya
 
Mod nafikiri hawa wote walioleta hii zhabari wanastahili ban, make saa kumi imepita muda mrefu zna sasa ni saa kumi na moja--ban them all
 
tbc hewani sasa namwona jk ndio anaanza
 
hamna jipya hapa baraza baraza baraza baraza baraza baraza baraza baraza baraza baraza

....loading..

system error
 
Vituo vya radio na Tv vimepata hasara na vinaendelea kupata hasara kwa kuwa ilikuwa wajiunge saa kumi kamili na kuchukua takriban nusu saa kutuletea hiyo habari. Wangekosa malipo ya matangazo kuanzia saa kumi hadi kumi na nusu sasa wamekosa matangazo kuanzia saa kumi hadi sasa hivi ni kumi na moja bado wako standby hawawezi kuingiza tangazo lolote. Naona ataanza 11

Tena wangejua muda ulivyo mali wasingethubutu kuchelewa.....halafu nobody cares
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom