๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—จ๐—ฅ๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—œ

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
530
Reaction score
361
๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—จ๐—ฅ๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—œ

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha urafiki na Marekani kwa kuweka mazingira rafiki kwa raia, wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchini humo.

Akizungumza katika hafla ya kila mwaka ya Marafiki wa Tanzania jijini New York, Marekani, Waziri Kombo amesema Tanzania inatoa visa kwa raia wa Marekani wanapowasili nchini, akieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya kuonesha urafiki na kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili.

Aidha, Waziri Kombo amesema Serikali iko tayari kuwasaidia wafanyabiashara na wawekezaji katika masuala yanayohusu kanuni, sera na taratibu, huku Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa tayari kushughulikia changamoto zinazoweza kujitokeza.

Kwa upande wake, Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Elsie Kanza, amesema hafla hiyo imelenga kuadhimisha urafiki, ushirikiano na ubia kati ya Tanzania na Marekani, pamoja na kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote.

Hafla hiyo imeandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu wenye Ulemavu nchini Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.); Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida; Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Afya na masuala ya ukimwi Dkt. Zeyana Abdallah Hamid(Mb.).
 
Attachments

  • IMG-20260927-WA0055.jpg
    IMG-20260927-WA0055.jpg
    647.4 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0062.jpg
    IMG-20260927-WA0062.jpg
    838.5 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0064.jpg
    IMG-20260927-WA0064.jpg
    871.5 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0040.jpg
    IMG-20260927-WA0040.jpg
    477.8 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0061.jpg
    IMG-20260927-WA0061.jpg
    835.4 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0035.jpg
    IMG-20260927-WA0035.jpg
    432.8 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0054.jpg
    IMG-20260927-WA0054.jpg
    651.5 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0063.jpg
    IMG-20260927-WA0063.jpg
    848.7 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0058.jpg
    IMG-20260927-WA0058.jpg
    754.6 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0066.jpg
    IMG-20260927-WA0066.jpg
    924.5 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0050.jpg
    IMG-20260927-WA0050.jpg
    574.3 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0067.jpg
    IMG-20260927-WA0067.jpg
    804.6 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0043.jpg
    IMG-20260927-WA0043.jpg
    505.8 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0053.jpg
    IMG-20260927-WA0053.jpg
    619.8 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0049.jpg
    IMG-20260927-WA0049.jpg
    560.9 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0060.jpg
    IMG-20260927-WA0060.jpg
    784.3 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0044.jpg
    IMG-20260927-WA0044.jpg
    524.2 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0065.jpg
    IMG-20260927-WA0065.jpg
    894.8 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0059.jpg
    IMG-20260927-WA0059.jpg
    764.2 KB · Views: 1
  • IMG-20260927-WA0041.jpg
    IMG-20260927-WA0041.jpg
    478.7 KB · Views: 1
๐—ง๐—”๐—ก๐—ญ๐—”๐—ก๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—˜๐—ก๐——๐—˜๐—Ÿ๐—˜๐—” ๐—ž๐—จ๐—œ๐— ๐—”๐—ฅ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—จ๐—ฅ๐—”๐—™๐—œ๐—ž๐—œ ๐—ก๐—” ๐— ๐—”๐—ฅ๐—˜๐—ž๐—”๐—ก๐—œ

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania itaendelea kuimarisha urafiki na Marekani kwa kuweka mazingira rafiki kwa raia, wafanyabiashara na wawekezaji kutoka nchini humo.

Akizungumza katika hafla ya kila mwaka ya Marafiki wa Tanzania jijini New York, Marekani, Waziri Kombo amesema Tanzania inatoa visa kwa raia wa Marekani wanapowasili nchini, akieleza kuwa hatua hiyo ni sehemu ya kuonesha urafiki na kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizo mbili.

Aidha, Waziri Kombo amesema Serikali iko tayari kuwasaidia wafanyabiashara na wawekezaji katika masuala yanayohusu kanuni, sera na taratibu, huku Wizara ya Mambo ya Nje ikiwa tayari kushughulikia changamoto zinazoweza kujitokeza.

Kwa upande wake, Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Elsie Kanza, amesema hafla hiyo imelenga kuadhimisha urafiki, ushirikiano na ubia kati ya Tanzania na Marekani, pamoja na kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote.

Hafla hiyo imeandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Watu wenye Ulemavu nchini Tanzania, Prof. Palamagamba Kabudi (Mb.); Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida; Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi John Ulanga pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Afya na masuala ya ukimwi Dkt. Zeyana Abdallah Hamid(Mb.).
well done TZ &USA for strengthening social, political and economic co-operation ๐Ÿ’ช
 
  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB

DHAMBI YA KUUWA WATANGANYIKA MO29 ITAWASUMBUA SANA!
 
Rais Samia alisema muda wa kuwasujudia wazungu wa Ulaya Magharibi na wamarekani umekwisha. Kwa sasa dunia ina supa pawa wengi tu. Sasa hizo shobo kwa wamarekani zimetokea wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom