Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,079
- 313
Tetesi......... MKUU bahasha aliyofanya uteuzi wamembadilishia wakamchomekea yenye majina ambayo hayakuwa chaguo lake kabisa, akatonywa, kufungua anaona hivyo. hivi alipo anahasira mbaya. chochote kinaweza kutokea
unaheshimika mkuu,weka utoto pembeni.