Babkey
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 4,838
- 3,674
hahahaha......
Mkwerre anapenda attention!!!
Lazima awachomeshe waandishi mihogo kwanza!!
inawezekana cartridge ya printer ilikuwa imeisha........katumwa mtu kariakoo fasta!!
...alafu kaenda kwa mguu ili kukwepa foleni, hahaaa!