Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Nawaza kwa sauti....nadhani kuna watu wana nguvu nyingi ambao wako nyuma ya kila kitu...kama wakigoma lazima kukwama kupo
 
Nashangaa umeangalia upande mmoja tu ilhali Rais kafanya mambo mengi makubwa yanayofuta hayo uliyoandika
Hebu tutajie labda tumesahau, vip elimuy kwa wanafunzi wa vyuo vikuu zaidi majanga na vilio hadi aliowakuta wakipata mkopo wamechujwa tena na hadi sasa Luna vijana mtaani wameahindwa kuendelea na chuo kwani wamefutiwa mkopo, miradi ya maendeleo kwenye halmashauri imekwama hakuna fedha, ukosefu wa madawa hospital in I, mf walioumwa na nyoka sindano hadi laki saba.
Kujimwa mosaada na nchi wahisani imagine serikali iankopa bank ya maendeleo Africa ili kuikwamua bajeti ya 2016/2017 ilihali miaka yote wahisani ndio waliokuwa wakichangia bajeti yetu, sababu za kunyimwa misaada issue ya Znz, demokrasia kuminywa na mengineyo.
Bandari imeedelea kubuma,
Kuongeseka kwa mzigo kodi kwa wat na kupelekea maisha kuwa magumu zaidi.
Kuongeza kodi kwa watalii Leo watalii wamekiwa wachache mno.
Ugumu qa maisha kila mtZ leo iwe machinga au mtumishi wa umma wote tunaishi km mashetani.
Ajira zimeedelea kuwa kitendawili serikali haina Pesa ya kuajiri watumishi wapya ilihali Luna uhitaji mkubwa qa sekta tofauti kuhitaji.
 
KUNa mtu alisha wahi kusema kuwa ni nguvu za soda. Sikutaka kumwamini kipindi hiko lakin sasa... naona picha halis
 
Ni kweli!

Ila je kuna jinsi tunavyoweza kumsaidia apambane?
Mi nadhani Magufuli hakujua kuwa tumemuweka mbele akapambane kama Boxing, yeye peke yake anabaki ulingoni!
Thinking yangu ni kuwa Magufuli alijua kuwa akipambana na Mafisadi then wapinzani watakuwa on his side, watanzania watamsaidia kumtetea endapo watu wata-react, matokeo yake nini! kila akipambana na uovu, kuna genge jingine linapambana naye kwa kukosoa, kukemea, kubeza etc na wala watanzania hawashtuki!
in 3 years time atausoma mchezo naye atabaki home anatazama kasuku na kula upepo mwanana wa baharini!
Kikwete had the same attitude mwanzoni (kumbuka siku 100 za mwanzoni za JK), alipotujua watanzania, akaona ajilie trip zake kupunguza stress!
Mkuu moja ya mambo yanayomgharimu JPM ni Kule kuwaona wapinzani kama maadui zake kumbe wote tunajenga nyumba moja,manyanyaso yalianzia bungeni Kule kwa yule mdada kisha akazima bunge live,kamata kamata ya upinzani kisha vitisho hataki yamkute ya JK maana wapinzani na wabunge wa ccm walisambaratisha baraza la mawaziri Mara kadhaa kwa kashfa za Richmond,Epa,tegeta escrow sasa yeye hilo la Lugumi tu kaweka mpira kwapani.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Ukiwa nje ya uwanja unaweza kuuona Mpira vizuri hadi ukaanza kukosoa wachezaji, ngoja uingie ucheze uone!
 
Huwezi kuua mfumo wa ccm kwa mwaka mmoja, sumu yao itawatafuna marais wengi hata akija malaika ni vigumu sana kuubadili mfumo ccm
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Naona umeunga mkono hoja kiaina yake. Ukweli siku zote haufichiki hata ukiufunika kwa blanketi la "ulofa"
 
  1. Kanunua ndege sita
  2. Ujenzi wa Reli ya Kati kwq Standard Gauge
  3. Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Uganda hadi Tanga
  4. Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma
  5. Ujenzi wq Hostel pale UDSM
  6. Nyumba za Magomeni Kota
  7. Kupandisha bei ya korosho kutoka shilingi 1000 hado 4000
  8. Ujenzi wq Barabara ya Mwenge hadi Morocco
  9. Ununuzi wa Meli mpya Ziwa Tanganyika na Victoria
  10. Umeme wa uhakika. Hakuna mgawo kwa sasa
  11. Nk nk
Mkuu hizo ni ahadi au kashakamilisha?
 
Heshima ya utumishi Wa umma imerudi, uzembe kazini umepungua,
Hela za dili hazipatikani siku hizi ndio maana kuna kelele hamna hela mifukoni,
viwanda kama 1000 vinafunguliwa bagamoyo ili kuongeza kodi na ajira kwa vijana,
bomoa bomoa inaendelea mbez-kibaha kupanua Barbara ya mwendo kasi bila kujali nyumba ya nani iko barabarani,
mikopo inarejeshwa kwa kasi kwa waliokokopeshwa tangu 1994 hii itasaidia kukopesha idadi kubwa zaid mwakani, safari/warsha/ semina za nje zimepungua,
utegemez Wa misaada kutoka kwa wajomba zetu imepungua, ni aibu kutembeza bakuli nje wakati rasilimali ziko za kutosha
Salamu kwako Quinine
Nafikiri utakua umeelewa Quinine.
 
Bado kuna mazuri mengi mfano ni elimu bure, ajira walimu wa sayansi ,kufufua ATCL

Katika yote nimependezwa na utekelezaji wa kazi Sera ya ardhi ktk mikoa mbalimbali
waalimu wa sayansi tu?na hapo wa masomo mengine kwa nini mmesubiri wamalize ndio muwambie ajira hamna !!?ili wakaajiriwe wapi Uganda au Kenya??
 
Sasa kaanza na mtindo wa kufanya matumizi ya gharama kubwa ambayo hayajaidhinishwa na Bunge. Kishatumia trilioni 1 kununua ndege bila kupata idhini ya Wabunge wala kufuata taratibu za manunuzi Serikalini kitu ambacho hana mamlaka nayo kukifanya. Ni janga kubwa la Taifa huyu.

Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
naunga mkono hoja
 
IMG-20161228-WA0001.jpeg
 
Ni kweli!

Ila je kuna jinsi tunavyoweza kumsaidia apambane?
Mi nadhani Magufuli hakujua kuwa tumemuweka mbele akapambane kama Boxing, yeye peke yake anabaki ulingoni!
Thinking yangu ni kuwa Magufuli alijua kuwa akipambana na Mafisadi then wapinzani watakuwa on his side, watanzania watamsaidia kumtetea endapo watu wata-react, matokeo yake nini! kila akipambana na uovu, kuna genge jingine linapambana naye kwa kukosoa, kukemea, kubeza etc na wala watanzania hawashtuki!
in 3 years time atausoma mchezo naye atabaki home anatazama kasuku na kula upepo mwanana wa baharini!
Kikwete had the same attitude mwanzoni (kumbuka siku 100 za mwanzoni za JK), alipotujua watanzania, akaona ajilie trip zake kupunguza stress!
Kwahyo tunaowaferisha maraisi wetu ni sisi, raia vichwa maji tuso puche kwa wanaoteseka vijijini, eti kwa miavuli ya siasa hizi za kishetani.

Mi ndo mana siamini ktk demokrasia wala vyama vingi, ni mfumo mbaya kwa vinchi visivyokomaa. We raia wehu unawapa haki ya kufanya maamuzi makubwa ya kitaifa.

Uraisi ni inshu kubwa sana, si kama tufikiriavyo wajinga siye wa kitaa tunaohangaikia kununua vimakochi tupange vyumba. Sio tu Magufuli, hata Mungu aje kama hatutompa ushirikiano atashindwa tu.

Lakini hata ktk hili nalo tunamlaumu, mahakama kukosa kesi, watu kuachiwa mahakamani. Hivi hata ambavyo mnavyovidai huwa hamvijui? Demokrasia ni pamoja na utawala wa sheria, utawala wa sheria ni pamoja na uhuru wa mahakama, mlitarajia nako aiingilie akatoe maamuzi yake?
 
Back
Top Bottom