Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Tumuunge mkono kwa lipi? Kuteua teua na kutumbua tumbua?
 
Na kama ha2sikilizi je!!!!?, kila analoshauriwa halichukui ya ndo mwamuzi wa mwisho...tufanyeje hapo mkuu!!?
Naamini kila mtanzania anatamani kuona nchi ye2 inaendelea lakini tatizo ni kwamba huyu mkulu hashauriki, anadhani anaweza kuifikisha nchi anapotamani yeye (kwenye mafanikio nadhani/uchumi imara + maendeleo) kwa nguvu zake binafsi pasina kuwashirikisha wenza wake.
 
Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Kuna ambao tayari wametumbuliwa sabab ya ufisadi nadhani mtoa mada alikusudia hao au na wale walofanya ufisadi kipindi cha nyuma n.k. Nadhani ni mapema mno kuanza kusema kuwa Mahakama imekosa kesi, labda tungeipa muda, pengine watu wapo kazini kukusanya vielelezo na ushahidi hawataki kukurupuka tu na kuwapeleka watu Mahakamani then baadae Serikali ije kushindwa tuanze kulipa fidia, waachane watu wafanye kazi kwa Umakini.
 
Ukiwa na akili ndogo kazi sana
Mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutendaji yaliyofanyika huyaoni au unajitia upofu

Dhana ya kujitegemea pia huioni kbs kwmba ime gain momentum kwa kipindi hiki kifupi

Mianya ya rushwa ilivyopunguzwa kama sio kuzibwa kabisa huoni nalo

Uwahibikaji wa watumishi wa umma pia umefumba macho bado

Bado tuna safari ndefu
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Wote twende magogoni. Atumie njia sahihi siyo kanyaga twende. Hii ni nchi siyo kaya
 
Tumuunge mkono kwa lipi? Kuteua teua na kutumbua tumbua?
Ni humu humu mlikuwa mnalalamika na issue za bandari na kwengine, leo wametumbuliwa wale tulokuwa tunalalamika bado mnalaumu, Nadhani kuna wengine wametumbuliwa kihaki hasa hata mwanzoni mlikuwa mna msifu, iweje sasa mnakuwa na kigeugeu.
 
Lubuva ni kweli mbingu na nchi ni shahidi.
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Wewe usie pungukiwa maarifa kwanini usifikirie hatakidogobasi?mtu anaeungwa mkono ni yule anaeshaurika,anaejua makosa aliyofanya,ambae anaweza kuvumilia watu wanao mbeza kinamnanyingine,msikivu,anaejua kutumia madaraka aliyonayo.Je huyu unaetaka tumuunge mkono anasifaipi hapo?nijibu haraka.
 
Ni kweli!

Ila je kuna jinsi tunavyoweza kumsaidia apambane?
Mi nadhani Magufuli hakujua kuwa tumemuweka mbele akapambane kama Boxing, yeye peke yake anabaki ulingoni!
Thinking yangu ni kuwa Magufuli alijua kuwa akipambana na Mafisadi then wapinzani watakuwa on his side, watanzania watamsaidia kumtetea endapo watu wata-react, matokeo yake nini! kila akipambana na uovu, kuna genge jingine linapambana naye kwa kukosoa, kukemea, kubeza etc na wala watanzania hawashtuki!
in 3 years time atausoma mchezo naye atabaki home anatazama kasuku na kula upepo mwanana wa baharini!
Kikwete had the same attitude mwanzoni (kumbuka siku 100 za mwanzoni za JK), alipotujua watanzania, akaona ajilie trip zake kupunguza stress!

Kichwa chako kifugie nywele tu. Alipopeleka bunge gizani tukajua uyu hajiwezi.
 
Ni humu humu mlikuwa mnalalamika na issue za bandari na kwengine, leo wametumbuliwa wale tulokuwa tunalalamika bado mnalaumu, Nadhani kuna wengine wametumbuliwa kihaki hasa hata mwanzoni mlikuwa mna msifu, iweje sasa mnakuwa na kigeugeu.

Ubadhirifu umeisha bandarini? Bado watu wanakwepa kodi kama kawaida.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
umefikiri sana kweli ilikuwa nguvu ya sprite
 
Mheshimiwa spika nadhani tupewe katiba mpya au mnasemaje waheshimiwa [emoji112]
 
Mfupa uliomshinda fisi kibogoyo atauweza kweli?? Tatizo la nchi hii ni ccm kufilisika kwa mawazo mapya magu lazima atashindwa tu kupambana na mfumo uliompa madaraka.
 
Ukiwa na akili ndogo kazi sana
Mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutendaji yaliyofanyika huyaoni au unajitia upofu

Dhana ya kujitegemea pia huioni kbs kwmba ime gain momentum kwa kipindi hiki kifupi

Mianya ya rushwa ilivyopunguzwa kama sio kuzibwa kabisa huoni nalo

Uwahibikaji wa watumishi wa umma pia umefumba macho bado

Bado tuna safari ndefu

82b65115eb5668fb9aafbbd32a1469a2.jpg
kweli tuna safari ndefu,kama unaweza kuwasitishia mkopo wanafunzu walioko nje ya nchi,sijui wanaishije uko.
 
Ubadhirifu umeisha bandarini? Bado watu wanakwepa kodi kama kawaida.
hata kama bado upo si kama zamani, na kwanini misreport vyombo husika kama mna taarifa kama hizo, nchi haijengwi na serikali pekee ni ushirikiano wa wananchi pia.
 
Bado kuna mazuri mengi mfano ni elimu bure, ajira walimu wa sayansi ,kufufua ATCL

Katika yote nimependezwa na utekelezaji wa kazi Sera ya ardhi ktk mikoa mbalimbali
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.

Hataki kuungwa mkono anataka kuombewa tu mengine atafanya mwenyewe. ONE MAN AMRMY!
 
Back
Top Bottom