kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,293
- 1,322
Weye ushaenda kambi Gani ya jeshi ukawakuta wanajeshi wanakula chips...?WEWE UNACHEZA NA KAGAME? YEYE JESHI LK LIKO KAZIN MUDA WT WKT HW WENU WAKILA CHIIPS NA KUNENEPEANA,
Swala la kuwa kazini Kila muda, kwani mipaka Yako unajua inalindwa na wakina nani...?
Au kwa sababu unaona unavyoishi kwa amani unalewa amani hujui uko mwenye mipaka ya nchi yetu vijana(Wanajeshi) wanakutana na visanga vingapi vya maharamia, na watu wasiopenda Amani nchi yetu Wanavyosumbua...
Ungelifika siku Moja mpakani uone maisha ya Wanajeshi uko mpakani wanavyoishi na patroo za usiku mipakani na maporini...usingedhubutu...kuongea shit...