Never Argue with a fool people might not notice the difference:Ilo sahau! Unakumbuka Iddi Amin alifurushwa Leo Uganda Iko wapi?Yule Mzee katangaza jana kugombea Tena,wewe unazaliwa mpaka unazeeka yeye ndo Raisi.Kiko wapi.
Never Argue with a fool people might not notice the difference:Ilo sahau! Unakumbuka Iddi Amin alifurushwa Leo Uganda Iko wapi?Yule Mzee katangaza jana kugombea Tena,wewe unazaliwa mpaka unazeeka yeye ndo Raisi.Kiko wapi.
Kwa akili Yako unadhani Jeshi Lina kaa kiboya apo border Customer km TRA...Jeshi linakaa kimkakati....punguza kuchungulia visivyokuhusu.We mjinga acha stori za vijiweni Mimi nipo mpakani huku jeshi hakuna chochote linalofanya tena kama kuna adui anaingia fasta tu kuwashugulikia nchi ipo uchi hii sio miaka ya kudanganya watu
Endelea kuotaKwa akili Yako unadhani Jeshi Lina kaa kiboya apo border Customer km TRA...Jeshi linakaa kimkakati....punguza kuchungulia visivyokuhusu.
TISS wa TZ, akili zao zote zimeishia hapo👇👇Kwanini asiipige Tanzania ilhali ana Mnyarwanda wengi kwenye Ofisi kubwa kubwa za Tanzania? Mmoja inasemekana anaandaliwa kuwa raia no.3.
Wapo ndani ya vitanda jikoni na sebuleni sio vifaa wala mbinuIla tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...
Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...
Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..
Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mabomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Unazeeka vibaya wewe mzee.Siwezi kuwa na mjukuu juha kama wewe.
Nakusikitikia sana kama wewe ni kijana.Unazeeka vibaya wewe mzee.
Jirani wa burundi ila sio kwa tz maana hata yeye anajua kuwa hana cha kuweza kufanyaAmna siraha kubwa zaidi kwa adui kama Uoga (FEAR) icho ndo kitu ambacho Rwanda tayari kaweza kuitengeneza kwa jirani zake
Haishangazi kwasababu ni maoni yako, kama maoni yangu yalivyo juu yako. Unazeeka vibaya wewe mzee.Nakusikitikia sana kama wewe ni kijana.
Sasa kama unataka kweli nikuonyeshe uduni wa ujana wako ulivyo nitafanya hivyo humu humu JF.
Tanzania inaumia sana kwa kuwa na vijana duni ya aina yako.
Wewe kama ni kijana ni hasara kubwa kwa taifa letu.Haishangazi kwasababu ni maoni yako, kama maoni yangu yalivyo juu yako. Unazeeka vibaya wewe mzee.
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0
General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.
Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanapekuliwa ili kurudi nyumbani.
Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.
Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.
Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"
Povu Ruksa, Karibu Sana......
Ni maoni yakoWewe kama ni kijana ni hasara kubwa kwa taifa letu.
Sifurahii kukuacha ukiwa umesononeka; lakini nakuomba utafakari kwa makini, ujana wako huu unayo manufaa gani kwa taifa letu hili.Ni maoni yako
Kagame yuko sawa. Kasema ukweli.Ongezea kagame amesema kuna watu wanapenda kwenda kujifanya kujenga Congo wakati nchi zao ni za ajabu , Wana rasilimali lakini wananuka rushwa na ufisadi kila sehemu
Nusa nusa , ile mechi ilikuwa ya kukimbia kama derby ya simu..mayenu walishacompromise wakaacha lindoo.. watoto wa madiba wanageuka wanashangaa wamebaki wenyewe..jamaa atajipigia maana ana watu ndani kabisa watoa maamuzi kwenye nchi anazozipiga mkwaraTulisha sema hapa ilikuwa aibu kwa Tanzania kushidwa vita kama ile
Mama ndo anayeenda kupigana?Na wewe unavyoona Kagame anaweza kumuogopa Mama kweli?
Wewe mrundi uliombwa uiunge mkono JWTZ?Umoja Gani upo wewe Hilo la kwenu kama mmemchokoza kagame acha awashugulikie wananchi hatutaiunga mkono jwtz hata siku moja
Wewe ndie unaepaswa kujitafakari, na uzee wako, bado unalog in kwenye akaunti zako tofauti ili uitukane serikali kwenye thread hii.Sifurahii kukuacha ukiwa umesononeka; lakini nakuomba utafakari kwa makini, ujana wako huu unayo manufaa gani kwa taifa letu hili.
Aaah, Kumbe!Wewe ndie unaepaswa kujitafakari, na uzee wako, bado unalog in kwenye akaunti zako tofauti ili uitukane serikali kwenye thread hii.
Nikikwambia unazeeka vibaya unakasirika.