Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,674
- 134,381
Vgeugeu
This is the name of the game!.Mkuu Nduka, ukienda kwenye mnada wa hadhara, kama hicho kitu unakitaka wewe, utakwewnda na timu 3. Timu moja ni ya kwako mwenyewe, timu nyingine ni ya kuwakimbiza serious contenders wote kwa kila atakayeku outbid kwa kupaisha dau kwa kuwafurusha wote wanaojaribu hadi mwisho wa siku, the highest bidder ni mtu wako, the second highest pia ni wako na wewe ndio the 3rd.
Wakati wa kulipa, the ist and the 2nd watafanya no show, ili mzigo uangukie kwako!.
Kwa wanaozijua siasa za nchi hii, JM na EL ni kambi ile ile sponsored by "the King Maker!", kuna watu niliwaeleza humu tangu mwanzo, kuna watu ni just "pace makers" na kina Yohana Mbatizaji tuu, wakiyanyoosha mapito ya "the chosen one!", hawakunielewa!, labda sasa wataelewa kwamba "that is what is the name of the game!", na kujua "the games people play!", "plays our minds away!".
Pasco
Sasa kuna asiye fisadi, wewe tu mwenyewe wakikupa urais kitu utacho anzanacho ni ufisadi, rais ajaye awe fisadi, awe nini lakin awe tu mkristo, wenzetu watoto wa mamdo mme prove fairure ktk uongozi. Hihihihiiiiiiiiiiiiiikwiiiiiiiiiiiii!
You're VERY RIGHT... Siku nilipopata fununu za JM kuutaka u-Rais nikaanza kwanza kufikiria ni mchezo gani hasa anaoufikiria kuucheza na EL. Nikajaribu kujiuliza ikiwa inataka kufanana na mchezo ambao Ghalib Bilal alipata kuucheza kwa kushirikiana na Ibrahim Raza... mpaka sasa natafakari, sijapata picha... au labda JM anatangulizwa kuandaa kikosi... hata mkimfyeka, Jemadari mwenyewe yupo nyuma hivyo wafuasi wamfuate Jemedari... sijapata jibu, sijapata jibu... jibu pekee nililo nalo ni makubaliano ya EL kuwa President na JM kuwa Prime Minister... Hata JM nae anafahamu kabisa kwamba for the time being, u-PM unamtosha sana unless airejee na kutishwa na historia ya JK na EL... RA mwenyewe ametulia tu wakati watu mnahangaika....Mkuu Nduka, ukienda kwenye mnada wa hadhara, kama hicho kitu unakitaka wewe, utakwewnda na timu 3. Timu moja ni ya kwako mwenyewe, timu nyingine ni ya kuwakimbiza serious contenders wote kwa kila atakayeku outbid, mtu wako atamfurusha kwa ku bid very high hadi mwisho wa siku, the highest bidder ni mtu wako, the second highest pia ni wako na wewe ndio the 3rd.
Wakati wa kulipa, the ist and the 2nd watafanya no show, ili mzigo uangukie kwako!.
Kwa wanaozijua siasa za nchi hii, JM na EL ni kambi ile ile sponsored by "the King Maker!", kuna watu niliwaeleza humu tangu mwanzo, kuna watu ni just "pace makers" na kina Yohana Mbatizaji tuu, wakiyanyoosha mapito ya "the chosen one!", hawakunielewa!, labda sasa wataelewa kwamba "that is what is the name of the game!", na kujua "the games people play!", "plays our minds away!".
Pasco
Pasco ndugu yangu umehama kambi ya Lowassa?
Bora ushabikie Wassira kuliko huyo Makamba.
This is the game people play!.Mkuu Nduka, ukienda kwenye mnada wa hadhara, kama hicho kitu unakitaka wewe, utakwewnda na timu 3. Timu moja ni ya kwako mwenyewe, timu nyingine ni ya kuwakimbiza serious contenders wote kwa kila atakayeku outbid kwa kupaisha dau kwa kuwafurusha wote wanaojaribu hadi mwisho wa siku, the highest bidder ni mtu wako, the second highest pia ni wako na wewe ndio the 3rd.
Wakati wa kulipa, the ist and the 2nd watafanya no show, ili mzigo uangukie kwako!.
Kwa wanaozijua siasa za nchi hii, JM na EL ni kambi ile ile sponsored by "the King Maker!", kuna watu niliwaeleza humu tangu mwanzo, kuna watu ni just "pace makers" na kina Yohana Mbatizaji tuu, wakiyanyoosha mapito ya "the chosen one!", hawakunielewa!, labda sasa wataelewa kwamba "that is what is the name of the game!", na kujua "the games people play!", "plays our minds away!".
Pasco
Sasa hivi zamu ya wakristo kutawala hakuna ubishi
Sioni kama kuna mtu aliyepata Urais wa ajili ya dini yake. Mwalimu alipotoka madarakani, alitaka nchi iongozwe na Mzanzibar... si kutokana na uhodari wao kwenye kuongoza bali alifahamu harakati za kisiasa za ZNZ... alihofu, akija m-Bara mwingine, ZNZ wanaweza kusumbua sana! INgekuwa lengo kuu la Mwalimu ni nchi kuongozwa na Mwislamu, basi angemwachia Rashidi Kawawa... lakini alitaka Mzanzibari.Mkuu umeandika maneno ya maana sana, lakini unfortunately, hali halisi haiko hivyo!
Labda kama unadhani tumepata marais wa dini za tofauti kila awamu kwa bahati mbaya?
Hilo hatuwezi kulikwepa mkuu!
It is an unwritten rule! Akija rais muislam awamu ijayo lazima kutakuwa na maneno!
jmushi1,Mkuu issue ya kuchagua mwanamke ama kijana ipo kwenye katiba?
Soma vyema mkuu, hakuna pahala nimesema ndo kigezo kikuu, pitia mabandiko mkuu!
Wenye kuchagua kiongozi anayewafaa ni wananchi, na hiyo ndo demokrasia! Demokrasia pia ni uwezo wa kutoa maoni bila kubughudhiwa almradi hujavunja sheria za nchi!
Hapana sasa hivi no zamu ya wapagani! Ni lini tulisikia Rais mpagani? Kwani hawapo?
Kwa wale wanaodai ni zamu ya zanzibar kutoa raisi, mlishachelewa zamu yenu ilikuwa baada ya mkapa, mlikuwa wapi hamkupiga kelele kipindi kile? Imeshakula kwenu hiyo....
Umebadili kambi?
Wise of youUhuru lazima uwe na mipaka, ndio maana kuna maeneo watu huchora mistari ya kuonyesha mwisho wa jambo. Dunia ya sasa inaelekea kubaya sababu ya kusingizia uhuru, ndio maana ushoga, usagaji unapewa audience ya lazima, comment yangu ya kwanza inasimama.
Na wewe ni mmojawapo uliolike baadhi ya hizo comment za kipuuzi, Nimesikitishwa sana.
Kwa taarifa tu mimi ni mchaga na mkristo lakini NACHUKIA SANA UDINI NA UKABILA.
Wenye tabia ya kumchugua rais kwa kuangalia dini yake ni CCM.Kwa hiyo zamu inayofuata ni ya rais mkristo kuiongoza CCM.Tanzania itaongozwa na rais yeyote mwenye uwezo wa kuiletea nchi maendeleo pasipokujali imani yake.
Mkuu utasubiri sana mpaka Jua lianze kuchomoza magharibi na litue mashariki.