Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

kuna mtu hapa ananing'oneza kuwa, nchi hii haitakuja kuwa na Rais ama waziri mkuu, nje ya mkatoliki ama muislam! sijamuelewa ila ndio nishamskia!
 
Mkuu rejea bandiko lilopita, nadhani pengine hukunipata pale niliposema kuhusu kutokuyatendea haki "mabadiliko yetu", whether mabaya au mazuri! Mengine yameletwa wakati wa uchaguzi uliopita! Na ndiyo maana nikasema mazuri kwa mabaya!

Mkuu kunawatu ambao wanachukuwa muda kubadilika na wakati na wengine ni fasta!

Nimekuja kugunduwa kuwa mojawapo ya mambo yaliyotuweka pamoja kwa muda mrefu kama taifa lenye mshikamano, basi ni utamaduni huu tuliojiwekea ambao hauko kisheria wala kwenye katiba, bali kwa utashi wetu sisi wenyewe!

Tumekuwa tukijigamba kuhusu amani yetu pasipokujuwa chachu za amani hiyo ni zipi?

Mkuu utakuja kuniambia, sishangazwi na wewe kushindwa namna ya kunisaidia! Isipokuwa nitashangazwa kama utamaduni huu utapuuzwa!
Hata sikuelewi mkuu wangu maana kuna Tamaduni zilizopitwa na wakati na zipo ambazo zimetujengea Identity yetu kama Watanzania na dini sio mojawapo. Udini kwetu ni utamaduni ulikwisha pitwa na wakati kwa sababu maandishi yenyewe yanasisitiza kuwa hili ni swala Binafsi la kila mmoja wetu kufanya maamuzi yake malipo yake ni siku ya mwisho ambayo kiuchumi na kisiasa hakuna mtu anayesubiri hadi afe ndio akachukue mavuno yake. Dini sio Itikadi inayoweza kutumiwa ili kuunda jumuiya ya watanzania ama kufanikiwa kiuchumi hapa duniani bali matunda yake tunaambiwa utayavuna siku ya Mwisho (Kiyama). Eeeh kweli unamtaka rais ambaye mavuno yake tutayategemea siku ya mwisho ndio tuvune! Kama sii sababu ni utamaduni gani zaidi ya kuupasha Udini wenyewe..

Hivyo ni ujinga ulioje kwetu sisi kumchagua rais ambaye imani yake ni kuwajengea watu mahala pema peponi! yaani tunamtaka rais atakaye tuhakikishia tutakuja RIP tutakapo kufa au?. Na kama sii katika maandalizi haya ya kiimani ya dini then tunamhitaji rais kwa dini yake ili iweje au ndio ktk kuogopa The Maison ambao wapo tka enzi ya mwalimu. Unless wewe unataka kunambia JK ameshinda uchaguzi kutokana na dini yake na Dr. Slaa alishindwa kutokana na dini yake. Hapana mkuu CCM walishinda kutokana na mfuko wao, Takrima na fedha za EPA ndizo sababu na kiini cha JK kushinda toka uchaguzi ndani ya CCM yenyewe hadi uchaguzi mkuu. Huko nyuma yalikuwa mapendekezo ya Nyerere ambayo leo hii tunayajutia. Kama kuna kosa kubwa mwalimu alowafanyia Watanzania ni kuwakabidhi nchi maharamia. Kama mzazi alokufa pasipo kuandika wasia (will), wajomba wakavamia mali za watoto.

Unajua, Dini zote zinatupa sisi wanadamu right ya kuchagua imani, japo zote zinaonya usifanye makosa ya kuchagua nje ya imani hiyo. Na kama kuna demokrasia ya kweli hapa duniani basi Dini ndio pekee inayompa kila mmoja wetu haki na ruksa ya kuchagua anachoamini yeye isipokuwa tamaduni zetu (culture) ndizo zinazopingana na sheria ya dini kiasi kwamba watoto na kizazi chetu wanalazimika kufuata imani na dini ya wazazi. Mtoto anabatizwa akiwa na mwaka au anafundishwa kuruan na kusali akiwa na miaka 5 na hapewi kabisa nafasi ya kufikiri na ataogopa kulaaniwa. Wale walokataa wakaenda imani tofauti hupoteza mapenzi ya wazazi na hasa baba maana Mama siku zote humkubali mwanaye ktk kila hali kutokanana bond ya miezi 9 ya ujauzito ambayo humjengea upendo usiokuwa na masharti.

Labda wewe nipe darasa vizuri unaposema tunajigamba kuwa na AMANI na UTULIVU, kwani chachu ya amani hiyo ni zipi? maana neno Utamaduni tu halitoshelezi - ni utamaduni upi?
 
Haitakuja kutokea tena hii inchi iongozwe na mwislam

Hivyo? Kwani si mlijaribu 2010 kulazimisha mgombea wenu chaguo la kanisa kuchukua uongozi ikashindikana. Nitafurahi akichaguliwa Salim A salim au Mohamed Shein au Gharib Bilal (wote ni madr hawa) na niwasafi halafu nione utasimamia hii kauli yako.
 
kumbe kulikuwa na chaguo la kanisa ! Mimi najua kwamba kulikuwa na CHAGUO LA MUNGU TU .
 
Hivi nyie watu mbona hmdai rais anayekuja awe Mwanamke? Au awe Muhindiilau Mwarabu? Na yule anayesema waislam ni failure anatumia vigezo gani? Pengine atupe mchanganuo wake kwani as far as I know watendaji wakuu wa serikali wengi tangu enzi za nyerere ni wakristo je nani ni failure?
Mkuu usibase kwenye negativity!Hao watu wa aina hiyo wapo, wenye kukashfiana imani zao ama kubezana! Hao tusiwape nafasi hata kidogo.

Ni kama utamaduni huu umeleta kuheshimiana! Ebu Imagine marais wote waliopita wangekuwa wakristo, kungekuwa na amani?

Amani tuliyonayo haijajileta yenyewe mkuu! Ni matunda na matokeo ya mshikamano na tamaduni zetu Iimesaidia kudumisha amani na pia kuwafunga mdomo maextremist wa pande zote, hususan wenye kuweza kuzungungumzia kuhusu mifumo nk.

Sasahivi watu wanasema dini si issue na kumekuwepo na malalmiko kuhusiana na dini za viongozi wakuu?

Ama unadhani imetokea bahati mbaya tukawa na marais wa imani tofauti kila muhula? Think again!
 
Hata sikuelewi mkuu wangu maana kuna Tamaduni zilizopitwa na wakati na zipo ambazo zimetujengea Identity yetu kama Watanzania na dini sio mojawapo. Udini kwetu ni utamaduni ulikwisha pitwa na wakati kwa sababu maandishi yenyewe yanasisitiza kuwa hili ni swala Binafsi la kila mmoja wetu kufanya maamuzi yake malipo yake ni siku ya mwisho ambayo kiuchumi na kisiasa hakuna mtu anayesubiri hadi afe ndio akachukue mavuno yake. Dini sio Itikadi inayoweza kutumiwa ili kuunda jumuiya ya watanzania ama kufanikiwa kiuchumi hapa duniani bali matunda yake tunaambiwa utayavuna siku ya Mwisho (Kiyama). Eeeh kweli unamtaka rais ambaye mavuno yake tutayategemea siku ya mwisho ndio tuvune! Kama sii sababu ni utamaduni gani zaidi ya kuupasha Udini wenyewe..

Hivyo ni ujinga ulioje kwetu sisi kumchagua rais ambaye imani yake ni kuwajengea watu mahala pema peponi! yaani tunamtaka rais atakaye tuhakikishia tutakuja RIP tutakapo kufa au?. Na kama sii katika maandalizi haya ya kiimani ya dini then tunamhitaji rais kwa dini yake ili iweje au ndio ktk kuogopa The Maison ambao wapo tka enzi ya mwalimu. Unless wewe unataka kunambia JK ameshinda uchaguzi kutokana na dini yake na Dr. Slaa alishindwa kutokana na dini yake. Hapana mkuu CCM walishinda kutokana na mfuko wao, Takrima na fedha za EPA ndizo sababu na kiini cha JK kushinda toka uchaguzi ndani ya CCM yenyewe hadi uchaguzi mkuu. Huko nyuma yalikuwa mapendekezo ya Nyerere ambayo leo hii tunayajutia. Kama kuna kosa kubwa mwalimu alowafanyia Watanzania ni kuwakabidhi nchi maharamia. Kama mzazi alokufa pasipo kuandika wasia (will), wajomba wakavamia mali za watoto.

Unajua, Dini zote zinatupa sisi wanadamu right ya kuchagua imani, japo zote zinaonya usifanye makosa ya kuchagua nje ya imani hiyo. Na kama kuna demokrasia ya kweli hapa duniani basi Dini ndio pekee inayompa kila mmoja wetu haki na ruksa ya kuchagua anachoamini yeye isipokuwa tamaduni zetu (culture) ndizo zinazopingana na sheria ya dini kiasi kwamba watoto na kizazi chetu wanalazimika kufuata imani na dini ya wazazi. Mtoto anabatizwa akiwa na mwaka au anafundishwa kuruan na kusali akiwa na miaka 5 na hapewi kabisa nafasi ya kufikiri na ataogopa kulaaniwa. Wale walokataa wakaenda imani tofauti hupoteza mapenzi ya wazazi na hasa baba maana Mama siku zote humkubali mwanaye ktk kila hali kutokanana bond ya miezi 9 ya ujauzito ambayo humjengea upendo usiokuwa na masharti.

Labda wewe nipe darasa vizuri unaposema tunajigamba kuwa na AMANI na UTULIVU, kwani chachu ya amani hiyo ni zipi? maana neno Utamaduni tu halitoshelezi - ni utamaduni upi?
Mkuu chadema wenyewe mnaparurana ktaka kuwepo na mwenyekiti muislam.Tusijitie upofu kwasababu tu pengine maslahi ya wagombea wetu yameguswa.Tufocus kwenye umoja wetu na amani, halafu tupate kiongozi mchapa kazi mchukia ufisadi utaona tutakavyopiga hatua!
 
jmushi1,
Hata kama utakataa vipi, wewe hoja yako umesukumwa na UDINI lakini unajibaragua... danganyana wengine, lakini kama mimi huwezi kunidanganya kwavile kwa kumbukumbu zangu, nimeshaktana na wewe angalau mara mbili kwenye mijadala kama hii huku mara zote ukitaka kujifanya sio mdini... hii hoja yako hapa umesukumwa na yale yale ambayo nilishapaa kukuambia jamvi hili hili la siasa

Aidha, umekuwa ukirudia mara kwa mara kwamba "issue ya kuchagua mwanamke ama kijana ipo kwenye katiba?" Hii hoja hapa haina mashiko, haitoshelezi japo robo ya kiganja. Nchi hii, and in fact, duniani, hakuna lethal struggles basing on gender or age-group. Na ni kutokana na hilo, ndipo mamlaka huwa zinafanya upendeleo wa wazi wazi basing on gender or age group lakini kwa nchi kama zetu huwezi kufanya hivyo basing on religion coz' it's very sensitive issue. Kwahiyo leo kusema tuchague mtu kutokana na dini yake kwavile tayari tunafanya hivyo basing on gender or age group ni upotofu wa hali ya juu!!

Binafsi, ingawaje mimi ni Mwislamu, lakini wala sioni Mwislam anaefaa miongoni mwa hawa wanaotajwa tajwa. Si kwa sababu Rais wa sasa ni Mwislamu bali hawa tunaowafahamu hawatoshi(with exception of SAS ambae hata hivyo nae umri umeenda sana). Lakini wewe unataka kiongozi Mkristo si kwa sababu hakuna Mwislamu anayetosha bali kwavile Rais wa sasa ni Mwislamu basi anayekuja awe mkristo... HUO NI UDINI USIO NA MAANA mbao hautakusaidia wewe wala familia yako... sana sana utafaidika na stupid social satisfaction...
Rudia kusoma badiko la kwanza vyema, ikishindikana kaongeze lensi ya magogo yako uweze kuuona udini through magnification!

Pole sana!
 
Uhuru lazima uwe na mipaka, ndio maana kuna maeneo watu huchora mistari ya kuonyesha mwisho wa jambo. Dunia ya sasa inaelekea kubaya sababu ya kusingizia uhuru, ndio maana ushoga, usagaji unapewa audience ya lazima, comment yangu ya kwanza inasimama.

Na wewe ni mmojawapo uliolike baadhi ya hizo comment za kipuuzi, Nimesikitishwa sana.
Kwa taarifa tu mimi ni mchaga na mkristo lakini NACHUKIA SANA UDINI NA UKABILA.
Mkuu uhuru niliokuwa ninauzungumzia uko ndani ya mipaka ya tamaduni zetu!

Ushoga si utamaduni wetu!Na pia si utamaduni wa mwafrika kwa ujumla!

Na ndiyo maana hata Obama amepoteza sana umaarufu miongoni mwa waafrika!

Kwenye thread hii, ninazungumzia utamaduni tulioko nao ambao umedumisha amani, mshikamano pamoja na umoja wetu, mambo ambayo nchi kedekede Africa na duniani kwa ujumla wanayaonea gere!

Mkuu soma kwa upole na utulivu kabisa bila hisia wala jazba!
 
Hivyo? Kwani si mlijaribu 2010 kulazimisha mgombea wenu chaguo la kanisa kuchukua uongozi ikashindikana. Nitafurahi akichaguliwa Salim A salim au Mohamed Shein au Gharib Bilal (wote ni madr hawa) na niwasafi halafu nione utasimamia hii kauli yako.

Wewe hujalijua Kanisa.Hakuna kinachoshindikana kwake.Kampeni zilipigwa Misikitini kuwahadaa waislamu kwamba Wamchague Mwislamu mwenzao ili waweze kumshinda Dr.Slaa.Ukweli ni kwamba Waislamu walitekwa akili.Ukitaka kujua Mziki wa Kanisa CCM imependekeze Muislamu 2015.
 
Mkuu chadema wenyewe mnaparurana ktaka kuwepo na mwenyekiti muislam.Tusijitie upofu kwasababu tu pengine maslahi ya wagombea wetu yameguswa.Tufocus kwenye umoja wetu na amani, halafu tupate kiongozi mchapa kazi mchukia ufisadi utaona tutakavyopiga hatua!
Inaonyesha wewe unayo majibu sasa nakuuliza kuhusu hayo ya Chadema.
Kwa hiyo wewe unashauri Chadema wamchague Mwenyekiti afuatae Muislaam au Asiwe Muislaam na kwa nini?.. Naomba ujibu swali hili kwanza kutokana na mtazamo wako na itasaidia kuleta nini kama sio Udini unaoshutumiwa..
 
Ndo maana hatuwezi kuweka rais wa dini moja mihula yote mkuu!

Hilo la chadema ni mfano tu.Kuna bandiko nyuma nimezungumzia hilo la siasa kwenye level ya chama vs ya kitaifa.

Mfano wa chadema ni kukuonyesha tu kuwa siyo jambo la kupuuza kama unavyotaka kutuaminisha!

Hayo yanashabihiana kabisa!Kila chama kitatumia utashi wake wakati wa kuandaa wagombea wake ili wanapokuja kuwanadi, waendeleze utamaduni ambao umetupatia amani tuliyonayo!

Sasa chadema kwasababu kimeshakuwa chama kikubwa, ni lazima kiandae viongozi wakuu wa chama kutoka madhehebu mchanganyiko.Na yes, either katibu mkuu, mwenyekiti ajaye akiwa muislam ningefurahi binafsi ningeona chadema wanazingatia umoja na utamaduni huo!

La muhimu, nikupata kiongozi ambaye kwanza anaqualify kwa mujibu wa katiba husika(chama/taifa), na pia ambaye si fisadi!
 
jmushi, usimumunye maneno ni kwamba hawa waswahili wa kislamu kiukweli wanapokamata nafasi hasa ya uraisi wanavunjavunja na kubomoa kabisa hili taifa tazama kipindi cha rais mwinyi alifikia hatua akauza loliondo kwa waarabu waslamu wenzake,kaja huyu mwingine ------ kikwete ni vituko kabisa yeye anapaa angani tu kama anavumbua dunia kakausha hazina imebakia nyeupe tupu.kiujumla tunapolitazama suala hili objectives january makamba kuja kuongoza taifa hili nitakuwa muasi kwa ccm na ndipo hapo nitapigia kampeni upinzani,hawa wahafidhina wametuharibia nchi,kila mahala ni milipuko ya mabomu huko arusha,haya masuala kipindi cha mkapa hayakutokea,leo hii tuwape nchi labda ya bumbuli, pumbavu zao
 
raisi wa kwanza -Mwalimu nyerere-kanda ya ziwa, raisi wa pili-Mzee Mwinyi-Zanzibar, raisi wa tatu-mzee Mkapa-kanda ya kusini, raisi wa nne-mheshimiwa Kikwete-kanda ya mashariki-kanda ya kaskazini-BADO, kanda ya nyanda za juu kusini BADO! Sasa ni zamu ya kanda ya kaskazini (kilimaanjaro, Arusha na Manyara). CCM ikibugi nchi ni lazima iende kwa CHADEMA!
 
jmushi, usimumunye maneno ni kwamba hawa waswahili wa kislamu kiukweli wanapokamata nafasi hasa ya uraisi wanavunjavunja na kubomoa kabisa hili taifa tazama kipindi cha rais mwinyi alifikia hatua akauza loliondo kwa waarabu waslamu wenzake,kaja huyu mwingine mheshimiwa sana kikwete ni vituko kabisa yeye anapaa angani tu kama anavumbua dunia kakausha hazina imebakia nyeupe tupu.kiujumla tunapolitazama suala hili objectives january makamba kuja kuongoza taifa hili nitakuwa muasi kwa ccm na ndipo hapo nitapigia kampeni upinzani,hawa wahafidhina wametuharibia nchi,kila mahala ni milipuko ya mabomu huko arusha,haya masuala kipindi cha mkapa hayakutokea,leo hii tuwape nchi labda ya bumbuli, pumbavu zao
 
Ndo maana hatuwezi kuweka rais wa dini moja mihula yote mkuu!

Hilo la chadema ni mfano tu.Kuna bandiko nyuma nimezungumzia hilo la siasa kwenye level ya chama vs ya kitaifa.

Mfano wa chadema ni kukuonyesha tu kuwa siyo jambo la kupuuza kama unavyotaka kutuaminisha!

Hayo yanashabihiana kabisa!Kila chama kitatumia utashi wake wakati wa kuandaa wagombea wake ili wanapokuja kuwanadi, waendeleze utamaduni ambao umetupatia amani tuliyonayo!

Sasa chadema kwasababu kimeshakuwa chama kikubwa, ni lazima kiandae viongozi wakuu wa chama kutoka madhehebu mchanganyiko.Na yes, either katibu mkuu, mwenyekiti ajaye akiwa muislam ningefurahi binafsi ningeona chadema wanazingatia umoja na utamaduni huo!

La muhimu, nikupata kiongozi ambaye kwanza anaqualify kwa mujibu wa katiba husika(chama/taifa), na pia ambaye si fisadi!
Usikwepe swali hapa wewe unafikri Chadema wanatakiwa kumchagua Mwenyekiti ajaye Muislaam na kwa nini? Je ukisha fanya hivyo huyo muislaam ataleta mabadiliko gani ama atawasaidia kina nani maana inaonyesha wewe ni muumini wa Kula kwa zamu! Muumini ya Ku judge the book by it's cover, Fikra ambazo sisi wengine hatukubaliani nazo japo wewe unasema ni Utamaduni sijui utamadiuni gani unaokoleza Udini kuwa ndio tuufuate.
 
Mkuu unadhani kwanini wengi huwa wanasema zitto anachukiwa chadema kwasababu ni muislam? Na ingetokea marais wote waliopita wakawa wakristo bafo tungekuwa na amani?

Anayekwepa maswalini nani? Ama huyaoni?
 
Back
Top Bottom