Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

Mkuu pitia tena mada usome kwa utulivu ili upate kuelewa! Dini siyo kigezo cha urais! Ila tunaweza kupata wenye vigezo vya kuongoza ktoka kwenye hizo dini!

Kakobe hayupo kwenye siasa.Na ndiyo maana hatukuweka mufti badala ya JK!

Haya ni mambo yanayohitaji busara na hekima!

Sasa tunapoongea kitu democracy, hatuingizi kiti udini na suali la raisi kua na dini fulani halina mashaka na watanzania na ndio maana hata kwenye katiba halimo.
Sasa wewe unapoongea raisi awe dini nyengine na sio muislamu, je iyo itakua ni democracy?
 
hivi tukichagua mtu kwa kigezo cha dini baada ya kuingia ikulu akaamua kubadili dini je tutarudia uchaguzi? swali la ufahamu kwako mleta mada
 
Naona watu wanajadili kutokana na kwamba wagombea urais waliokuwa wamejiandaa sasa wanajitokeza! Makamba naona yuko kwa kasi sana na ana watetezi wengi ndani ya chama especially wale wa gia ya "rais kijana"

Si lengo la thread hii kusema kuw dini flani ndo kigezo cha urais kama vike wale wa kigezo cha ujana wanavyofanya.

Lengo halisi hapa ni kutafakari na kuchukua maamuzi ya busara zaidi.Tunafahamu taifa letu mbali na kugawanywa kwa misingi ya chuki za kikabila na kidini zilizochochewa kwasababu tu ya ulafi wa madaraka na wagombea wa chama tawala esp. Uchaguzi uliopita!

Mbali na hayo, chini ya taratibu zetu ndani ya awamu nne, hatujawahi kuwa na marais wawili mfululizo wenye imani moja!

Kwa utaratibu huo, ni wazi kuwa sasa ni muhimu tukapata kiongozi mwenye imani ya tofauti, inaweza ikawa hata mpagani!

Tusipofanya hivyo, tunaweza tukapata matatizo yatakayopelekea kudumaa kwa shughuli za kimaendeleo hususan jitihada zetu za kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umasikini kwa kutumia nguvu kazi, maarifa pamoja na rasilimali zetu ikiwemo watu.

Pia haina maana kuwa hatuna haki ya kuendelea kuwajadili wale wenye imani sawa na rais anayemalizia muda wake, ie Membe na Makamba, bali ni muhimu kutilia mkazo umoja wetu na mshikamano wetu, vitu ambavyo vimetusaidia kudumisha amani miongoni mwetu!

Nina amani kuwa rais anayekwenda kumaliza muda wake, aliweza kupata madaraka hayo kwasababu watanzania waliudumisha utamaduni ule wa kuhakikisha hatupati watawala wenye kutoka kwenye imani moja awamu mbili mfululizo.

Unless tuwe na viongozi wenye qualifications ambazo zinawazidi wengine wote kwa kiasi kwamba kuuvunja utamaduni wa kubadilisha watawala kwa kuzingatia imani kukawa justified!

Utamaduni huu upo taka tusitake, nafahamu kuna watakaosema kiwa huo ni utaratibu wa ccm, well! Ccm ndo wanatupatia watawala, na hilo la dini za watawala wetu limekuwa ni mjadala nchini mwetu na hata humu jukwaani sote tunafahamu hilo.

Kwa maoni yangu, hypothetically, si vyema kureplace malalamishi ya mfumo wa imani moja kwa kuupachika mfumo wa imani nyengine.
Dah ama kweli Vita ya kuing'oa CCM itakuwa na wakati mgumu zaidi huko mbeleni ikiwa mindset za watu ndio hizi...
 
Unaungumzia udini ktk nchi yenye watu zaidi ya mil45, Tunahitaji rais anayejua matatizo ya watanzania na kuyatatua.
Mkuu wafuatilie watanzania uone kama dini hazihusiki kwenye matatizo yao ya kila siku!

Zunguka uone kama watu hawategemei Imani zao nyakati za hayo matatizo yao na hata huzitumia imani zao wakati wa matatizo yao ya kila siku, matatizo ambayo kiongozi ajaye anatakiwa ayafahamu kama ulivyosema!

Tulia, tafakari, chukuwa hatua!
 
Sasa tunapoongea kitu democracy, hatuingizi kiti udini na suali la raisi kua na dini fulani halina mashaka na watanzania na ndio maana hata kwenye katiba halimo.
Sasa wewe unapoongea raisi awe dini nyengine na sio muislamu, je iyo itakua ni democracy?
Mkuu issue ya kuchagua mwanamke ama kijana ipo kwenye katiba?

Soma vyema mkuu, hakuna pahala nimesema ndo kigezo kikuu, pitia mabandiko mkuu!

Wenye kuchagua kiongozi anayewafaa ni wananchi, na hiyo ndo demokrasia! Demokrasia pia ni uwezo wa kutoa maoni bila kubughudhiwa almradi hujavunja sheria za nchi!
 
Ninachokiona ni Kuwa Makamba ataunganisha nguvu na EL
 
ati ni muhimu tukapata wa imani nyingine... Huu ujinga ndio hua unaniacha hoi kwa watanzania, yani akili ya mtu inaktuma kusema hili kabisa, afu anaanza kujitetea dini si kigezo, si kigezo huku umeshaifanya kua kigezo... Ujinga huu hauishi bongo afu uko kwenye population kubwa zaidi ya 90% n am not kidding kuhusu hilo... Bongo haitobadilika na hizi mentality na wengine wanafata mkumbo...
 
Mim nafikiri ndilo linalowaumiza kichwa watu kutoka upande wa pili wa Muungano.

Mimi ningeshauri kwanza mrudi na kuridhiana katika mambo ya iimani zenu kwani kuna mengi sana pande mbili za waislam na wakristo wa Tgk mnatuhumiana.

Na dhambii hii hata Kikwete aliisema alipofungua bunge lenu mwaka 2010 na hata Zitto kabwe alibainisha na kutoa ushuhuda ingawa wengi walipinga. Juzi juzi mumeshuhudia mauaji huko kanda ya Ziwa sio ya vikongwe na maalbino bali ya vita ya nani mwenye mamlaka ya kuchinja.

Bila na kuwa na mjadala wa wazi wa kitaifa na kupata muafaka yatakuwa ale yale ya Serikali mbili na Serikali tatu matokeo yake Ukawa wanatoka nje na katiba mpya kubaki kuwa ndoto.

Ni laazima kuwe na makubaliano na maridhiano kwa pande hizo mbili kabla watu kugeuza moja ya kipaumbele cha mgombea iwe ubunge udiwani au uraisi ni DINI yake.

Poleni sana jirani
 
Dah ama kweli Vita ya kuing'oa CCM itakuwa na wakati mgumu zaidi huko mbeleni ikiwa mindset za watu ndio hizi...
Mkuu vipi za mida?

Mkuu unwritten rules are mostly universal! Ok tuseme hizi za kwetu ni national! Kwa maana ya kwamba ni unwritten rules zinazo trump tofauti zetu za kisiasa(kumbuka ni national).

Maslahi ya Taifa ni muhimu zaidi hapa!

Hata tukiwaondoa ccm, haina maana kuwa na wananchi nao ni wapya! No! Wananchi ni wale wale wenye matatizo yale yale!

Binafsi naamini ni bora tufuate tamaduni zilizodumisha amani na umoja! Kwa maana kwamba kwa wengine kumchagua kiongozi mwenye Imani hiyohiyo kama aliyepita kwasababu tunataka upinzani ushike nchi haina mantiki!

Tunauwezo wa kupata viongozi wenye vigezo muhimu na hapohapo tukadumisha uhusiano wetu wa kidugu!
 
Mim nafikiri ndilo linaIowaumiza kichwa watu kutoka upande wa pili wa Muungano.

Mimi ningeshauri kwanza mrudi na kuridhiana katika mambo ya iimani zenu kwani kuna mengi sana pande mbili za waislam na wakristo wa Tgk mnatuhumiana.

Na dhambii hii hata Kikwete aliisema alipofungua bunge lenu mwaka 2010 na hata Zitto kabwe alibainisha na kutoa ushuhuda ingawa wengi walipinga. Juzi juzi mumeshuhudia mauaji huko kanda ya Ziwa sio ya vikongwe na maalbino bali ya vita ya nani mwenye mamlaka ya kuchinja.

Bila na kuwa na mjadala wa wazi wa kitaifa na kupata muafaka yatakuwa ale yale ya Serikali mbili na Serikali tatu matokeo yake Ukawa wanatoka nje na katiba mpya kubaki kuwa ndoto.

Ni laazima kuwe na makubaliano na maridhiano kwa pande hizo mbili kabla watu kugeuza moja ya kipaumbele cha mgombea iwe ubunge udiwani au uraisi ni DINI yake.

Poleni sana jirani
Asante kwa pole mkuu!

Umezungumzia jambo la msingi kabisa bila kuingiza hisia.Ni mchango wa muhimu kabisa!

Sasa tizama humu wengi wetu tunavypenda kujitia upofu! Mara ooh! Dini si kigezo, mara ooh unaleta udini! Badala ya kujadili wanaleta hisia!

Ni vyema tukajidhatiti mapema! Wala sioni sioni big Issue yoyote kujadili mustakabali wa taifa letu!

Ndo wale watu kwa akili za kibongo wanadhani vitu vinatokea kama miujiza tu vyenyewe vyenyewe, na wandhani hatuhitaji kuvifikri wala kuvijadili! Mazoea ya uvivu wa kufikiri!

So wanadhani ni muujiza ama just a coincidence kwamba tuna rais mwenye Imani ya tofauti kila muhula unaofuata!
 
Mkuu Faru Dume, katika mada yangu hii, [h=3]Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ..[/h]niliizungumzia hii dhana ya udini ya zamu za kupokezana!, nilishauri ili kuivunjilia mbali dhana hii, 2015 CCM imsimamishe tena Muislamu, tena this time iwe ni zamu ya Zanzibar na ikibidi makamo awe she!.

Pasco

Yani itakuwa ngumu sana watanzania tayari wameshagawa kidini na hamna kuaminiana tena wakiweka Zanzibar ndo wameharibu kabisa
 
Mkuu with all due respect hii mada ni ya hovyo: Upande mmoja uta claim kuwa Nyerere na Mkapa wanajumla ya Miaka 34 wakati Mwinyi na Kikwete wanamiaka 20! Kwa maana nyingine ni kuwa WAISLAM wanatakiwa kupewa atleast miaka mingine 10!... Vigezo vya Dini na Imani ya Watu siyo sahihi hata kidogo... Fikiria tena Mkuu halafu angalia Sumu uliyoimwaga inamadhara kiasi gani ....
Naona watu wanajadili kutokana na kwamba wagombea urais waliokuwa wamejiandaa sasa wanajitokeza! Makamba naona yuko kwa kasi sana na ana watetezi wengi ndani ya chama especially wale wa gia ya "rais kijana"

Si lengo la thread hii kusema kuw dini flani ndo kigezo cha urais kama vike wale wa kigezo cha ujana wanavyofanya.

Lengo halisi hapa ni kutafakari na kuchukua maamuzi ya busara zaidi.Tunafahamu taifa letu mbali na kugawanywa kwa misingi ya chuki za kikabila na kidini zilizochochewa kwasababu tu ya ulafi wa madaraka na wagombea wa chama tawala esp. Uchaguzi uliopita!

Mbali na hayo, chini ya taratibu zetu ndani ya awamu nne, hatujawahi kuwa na marais wawili mfululizo wenye imani moja!

Kwa utaratibu huo, ni wazi kuwa sasa ni muhimu tukapata kiongozi mwenye imani ya tofauti, inaweza ikawa hata mpagani!

Tusipofanya hivyo, tunaweza tukapata matatizo yatakayopelekea kudumaa kwa shughuli za kimaendeleo hususan jitihada zetu za kujikwamua kiuchumi na kuondokana na umasikini kwa kutumia nguvu kazi, maarifa pamoja na rasilimali zetu ikiwemo watu.

Pia haina maana kuwa hatuna haki ya kuendelea kuwajadili wale wenye imani sawa na rais anayemalizia muda wake, ie Membe na Makamba, bali ni muhimu kutilia mkazo umoja wetu na mshikamano wetu, vitu ambavyo vimetusaidia kudumisha amani miongoni mwetu!

Nina amani kuwa rais anayekwenda kumaliza muda wake, aliweza kupata madaraka hayo kwasababu watanzania waliudumisha utamaduni ule wa kuhakikisha hatupati watawala wenye kutoka kwenye imani moja awamu mbili mfululizo.

Unless tuwe na viongozi wenye qualifications ambazo zinawazidi wengine wote kwa kiasi kwamba kuuvunja utamaduni wa kubadilisha watawala kwa kuzingatia imani kukawa justified!

Utamaduni huu upo taka tusitake, nafahamu kuna watakaosema kiwa huo ni utaratibu wa ccm, well! Ccm ndo wanatupatia watawala, na hilo la dini za watawala wetu limekuwa ni mjadala nchini mwetu na hata humu jukwaani sote tunafahamu hilo.

Kwa maoni yangu, hypothetically, si vyema kureplace malalamishi ya mfumo wa imani moja kwa kuupachika mfumo wa imani nyengine.
 
Mkuu wIth all due respect hikai mada ni ya hovyo: Upande mmoja uta claim kuwa Nyerere na Mkapa wanajumla ya Miaka 34 wakati Mwinyi na Kikwete wanamiaka 20! Kwa maana nyingine ni kuwa WAISLAM wanatakiwa kupewa atleast miaka mingine 10!... Vigezo vya Dini na Imani ya Watu siyo sahihi hata kidogo... Fikiria tena Mkuu halafu angalia Sumu uliyoimwaga inamadhara kiasi gani ....
Mkuu tumia akili kabla ya conclude kwamba mada ni ya hovyo, maana naona hizi ndo akili za hovyo kabisa!

Miaka waliyotawala hao waliopita Ilikuwa ni constitutional! Yani taratibu za miaka ya kukaa madarakani zinatambuliwa kisheria na kikatiba!

Sasa ni mara ngapi tume mention humu kuhusiana na unwritten rules?

Soma vyema kabla hujakurupuka mkuu wangu!

Kama akiingia rais muislam ama mkristo, halafu katiba Ikamruhusu kukaa madarakani kwa miaka 50, hilo ni tatizo jingine tofauti kabisa na maudhui ya hii mada!

Soma uelewe halafu rudi tena hapa!

Note/hint: kumbuka kuhusu written vs unwritten rules.Ambapo vyote vina umuhimu kwenye well being ya any society!
 
ati ni muhimu tukapata wa imani nyingine... Huu ujinga ndio hua unaniacha hoi kwa watanzania, yani akili ya mtu inaktuma kusema hili kabisa, afu anaanza kujitetea dini si kigezo, si kigezo huku umeshaifanya kua kigezo... Ujinga huu hauishi bongo afu uko kwenye population kubwa zaidi ya 90% n am not kidding kuhusu hilo... Bongo haitobadilika na hizi mentality na wengine wanafata mkumbo...
Mkuu soma kwa upole utanifahamu! Dini si kigezo cha uongozi bora hata kidogo!
 
Niliwahi kusoma maoni ya waislamu,kwenye waraka wao kuhusu katiba mpya.Miongoni mwa mambo waliyoyapendekeza Katika waraka huo,Ni kwamba wanasifu Sana mfumo huo wa kupata Rais wa dini tofauti kwa kila awamu.Kwa maoni Yao,Ni utaratibu ambao hautaleta msuguano miongo mwao.Hata hivyo pamoja na maoni hayo,sioni kama Ni suala la msingi Sana,tunahitaji rais wa watanzania siyo wa dini Fulani.Rais yeyote mwenye uelekeo wa kupendelea imani Fulani hafai duniani wala mbinguni.Kwa upande mwingine,kwa nchi za afrika mashariki na Kati, Tanzania Ni mfano wa kuigwa,kwani nchi karibu zote Katina ukanda huu zimekuwa zikiongozwa na marais wakristo bila taabu yoyote.
 
Niliwahi kusomI maoni yainawaislamu,kwenye waraka wao kuhusu katiba mpya.Miongoni mwa mambo waliyoyapendekeza Katika waraka huo,Ni kwamba wanasifu Sana mfumo huo wa kupata Rais wa dini tofauti kwa kila awamu.Kwa maoni Yao,Ni utaratibu ambao hautaleta msuguano miongo mwao.Hata hivyo pamoja na maoni hayo,sioni kama Ni suala la msingi Sana,tunahitaji rais wa watanzania siyo wa dini Fulani.Rais yeyote mwenye uelekeo wa kupendelea imani Fulani hafai duniani wala mbinguni.Kwa upande mwingine,kwa nchi za afrika mashariki na Kati, Tanzania Ni mfano wa kuigwa,kwani nchi karibu zote Katina ukanda huu zimekuwa zikiongozwa na marais wakristo bila taabu yoyote.
Mkuu kuna mambo ambayo ni lazima yawepo ili jamii flani I thrive!

Kwamfano ni vyema kuassume kwamba binadamu ni wema! Lakini hicho si kigezo cha kulala na kuacha milango wazi ama kuweka vitu vyenye thamani pahala pa wazi kwenye watu wengi nk!

Hatuwezi kusema tukiweka marais wenye Imani moja awamu zote basi hakutakuwa na udini na misuguano kwenye jamii! Precautions ni taratibu za maisha yetu no matter what!

Mbona watu wanaweka walinzi na makofuli juu, je Ina maana walinzi hao hawatoshi ama kwamba hatuwaamini?
 
Hakuna anaenijibu?membe toka lini amekuwa muislam?
Sina uhakika na dini ya huyu mh, wenye kufahamu watatujuza.

Nafahamu ni kiongozi mzuri tu aliyeshiriki ujenzi wa msikiti nadhani msaada wa Gaddafi kule MZ kma sijakosea, so lazima atakuwa ameshiriki kwenye maendeleo ya wananchi wa kada mbalimbali nchini.Wenye kufahamu watatujuza, ama kama kuna pahala nimekosea I stand to be corrected.

Kwamba ana uhusiano wa kindugu na rais aliyepita pia ni rumours!
 
Sie tunataka rais wa nchi,sio kiongozi wa kanisa wala msikiti. dini ni kwa faida yako wewe na mkeo.
 
Mkuu issue ya kuchagua mwanamke ama kijana ipo kwenye katiba?

Soma vyema mkuu, hakuna pahala nimesema ndo kigezo kikuu, pitia mabandiko mkuu!

Wenye kuchagua kiongozi anayewafaa ni wananchi, na hiyo ndo demokrasia! Demokrasia pia ni uwezo wa kutoa maoni bila kubughudhiwa almradi hujavunja sheria za nchi!

Sijaongelea ishu ya kuchagua mwanamke na wala sijaandika neno mwanamke, suali langu tunaposema raisi awe mkristo, je hapo itakua ni democrasy?
 
Back
Top Bottom