rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,441
Hivi hawa waislam wanaojitangaza kuutaka Urais hawajui kuhusu uendeshaji wa nchi yetu???Membe yeye alibadili dini na kuwa Mwislam ili iweje???alijisahau siku kama ya leo itakuja???Makamba yeye anadai mama ni mristo???inawezekana ukristo uka produce mswahili???ukristo ni ustaarabu jamani,,zamu yenu ilishapita ni sisi wakristo kupokea kijiti acheni ujinga nyie,mnajifanya hamjui kuhusu hilo???nchi imejaa wanafiki sana