Hebu wewe jitofautishe na ujinga wako kwa uthibitishoAcha thread za kijinga km hii
Umefurahia udini wa pasco?Mods hivi post zoooote humu kila mtu angezifungulia uzi pangekalika?
Umesema "siasa ni mchezo mchafu, Slaa alikuwa Padri, ccm wakatumia hilo kwenye kampeni dhidi yake"Hata sikuelewi?
Relevancy iko pale pale regardless!msaada tafadhali. kwani urais wa kikwete unaoelekea mwishoni tunaweza kuuongelea vipi katika eneo la udini? je yupo neutral, au biased? to what extent? kwani naamini majibu ya maswali haya ndo yanayoipa hoja hii relevance au vinginevyo.
Pasco, kama umetumwa na lowassa umpigie upatu wa urais kwa kigezo cha udini umenoa...hii propaganda nimeiskia muda mrefu sana chini chini eti sasa ni zamu wa walutheri..sisi watz hatutaki udini
Hatutaki udini,ukabila na ukanda na huo sijui ujana na uzee vyote ni laanaKama nyie watanzania hamtaki udini je' ukabila mnataka na ukanda au ni kwa chadema ndiyo dhana ya ukabila ,udini na ukanda unafaa ila kwa ccm nyie watanzania hamtaki hivyo mbona nyie ni vigeu vigeu??
Hatutaki udini,ukabila na ukanda na huo sijui ujana na uzee vyote ni laana
Mkuu, tunaposema chagadema,tunataka ijirekebishe,iwe na sura ya kitaifa..iache kuegemea kwenye hizo elements za udini na ukabila..ifweero is always free man, hana minyororo ya utumwa wala kutumikia mafisadi...dr slaa akiharibu nitampa za uso,lowassa pia akiboronga nitampa za uso,halikadhalika membe,january,na yeyote yule...nasimama kama mtanzania huru daimaAnza kuomba radhi chadema kwa kuipakazia maneno ya kashfa kama chagadema na chama cha kikanda na kikosi chako cha uzushi humu jf lakini ukikataa kuomba radhi nitaamini umepewa mlungura na kambi ya mafisadi kwenye mnyukano Wa urais
Nimesoma thred yako yote kwa utulivu,kuna cha kujifunza,u hav a point..ila bado kuna mahali umepotoka kdg kwamba eti kuwe na kupokezana kuzingatia dini...this is pasco like thinking....Pitia bandiko la kwanza kwa utulivu mkuu!
Halafu kweli tutaona mengi mwaka huu, yani wewe ndo mpinga ukanda, ukabila na udini?
Ama mgombea wako kaguswa?
Ukisema hivyo chadema kwa dhana ya kuogopa kufikiri ata mimi ccm naijua kwa mengi zaidi kwa elementi hizo hizo kwa mtazamo Wa ujanja ujanja,,mi nadhani tunataka kiongozi shupavu atakayeweza kuwajali watanzania lkini ndani ya ccm,ukisema bora tuwe wkimbizi tuzoee kuwa tumeshauzwa tofauti na chadema au ukawa ni kazi bure!Mkuu, tunaposema chagadema,tunataka ijirekebishe,iwe na sura ya kitaifa..iache kuegemea kwenye hizo elements za udini na ukabila..ifweero is always free man, hana minyororo ya utumwa wala kutumikia mafisadi...dr slaa akiharibu nitampa za uso,lowassa pia akiboronga nitampa za uso,halikadhalika membe,january,na yeyote yule...nasimama kama mtanzania huru daima
cc
rabouor
Najua unarejea kwenye hizo za ukanda,ukabila na udini kwa sababu huwa naikemea sana chadema katika hayo...amini amini mkuu,siichukii chadema...naisema na kuionya ili iache kuji attarch kwenye hivyo vitu, ndio dosari yake kubwa...mm ni mdadisi na ni mtafiti, watz wana hofu na hicho chama kwa hayo mambo tu kikirekebisha hayo tutapigia kampeni iingie ikulu hata leo hii...Pitia bandiko la kwanza kwa utulivu mkuu!
Halafu kweli tutaona mengi mwaka huu, yani wewe ndo mpinga ukanda, ukabila na udini?
Ama mgombea wako kaguswa?
Mkuu sina mgombea hapo, ila naona mnamuogopa sana Lowassa?Nimesoma thred yako yote kwa utulivu,kuna cha kujifunza,u hav a point..ila bado kuna mahali umepotoka kdg kwamba eti kuwe na kupokezana kuzingatia dini...this is pasco like thinking....
mkuu mm sina mgombea na daima sitakuwa naye...mgombea wangu ni mtz mzalendo,mwadilifu,mchapakazi na mpenda haki,usawa na mpinga rushwa na ufisadi....si muumini mwa hao mabwana mnaowapigia upatu....fatilia michango yangu hapa na kama utaona kinyume na maelezo yangu haya nihukumu.
cc
jmushi