Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

pia uthamini wa mama kama mzazi upo pale pale,huyo jamaa anazungumzia uongozi.kwani kama mama yako hana uwezo wa uongozi ni vibaya kusema! unataka umpe sifa ambayo hana eti kwa vile ni mama.


Kwa hiyo na wewe unasema HC hana uwezo huo?! Jamani, mtu wa uswazi aseme hivyo wakati unaona kinachoendelea US,!
 
Kumbe huko USA hakuna mambo ya kuchafuana na wino wa blue
vote1.jpg
vote2.jpg
vote3.jpg
 
[HASHTAG]#iamwithher[/HASHTAG] wamarekani hawaangalii jinsia bali uwezo wa mtu katika kuendesha nchi

Usifananishe hillary na mwanamke wa kiafrika ambae halali mpaka akague simu ya mumewe

This woman is something else


Tehe!, eti halali mpaka akague simu ya mumewe, Tamama nimekubali kila kitu hapa but, as an African woman hiyo ya pili mh! 🙂
 
Unaota kabla ya kulala!? Lala kwanza ili uote na ukiota utaota Hillary ndiye the next POTUS na siyo huyo Trump the Groper AKA maniac.
Waambiiee mpwaaa nahama tanzania
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasiikia MKE WA TRUMP KAMPIGIA CLINTON
 
huyo hilary ndio alihusika kupeleka majeshi kwa gadafi sasa akiwa rahisi dunia itakuaje salama?
Dunia haiwezi kuwa salama hata rais wa marekani awe nani....

Dunia si salama
 
Donald Trump atashinda lakini HATAPEWA Nchi kama ilivyokua wakati wa Bush na Al Gore na kama ilivyo tu maeneo mengine sana sana ya huku kwetu Africa ndio tumekubuu kwa wizi wa na kofoji matakeo ya kura......
Bora wewe unajua hali halisi ya duniani. Watu wanadhani USA ndo kuna demokrasia
 
Wengi mnaompigia promo huyu mama mtakuja kuhutia kauli zenu, huyu mama ni kama nyoka, ngozi inapendeza lakini ndani kumejaa sumu kali. Bora DP anayeongea ukweli kuliko huyu mama mnafiki, huyu hana tofauti na Bush, tofauti yao ni vyama tu.
Una sababu yoyote ya kusema haya?! Ubaya wake uliujulia wapi....
Asipshinda Clinton nahama tanzania
 
ahaha [HASHTAG]#supermarketing[/HASHTAG] leo tumepishana ila najua unamkubali HILLARY CLINTON kichinichini.
Pole sana me too.
Tulipishana sababu nilifahamu mapema nini kinafuatia
*Donald Trump ni mjomba angu[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom