Go trump
hahah naona mnajipa matumain ila kwangu ni"we are going to Washington to draiiiiin the swamp"--Trump.
ahaha [HASHTAG]#supermarketing[/HASHTAG] leo tumepishana ila najua unamkubali HILLARY CLINTON kichinichini.Nakumbuka kipindi cha uchaguzi awamu ya kwanza ya Obama tulimuombea na kumshangilia hivi hivi tena tulikuwa tunaongezea kabisa ni mkenya jirani yetu.
**Team Trump**
mimi namuombea hillary clinton na nnaimani.Uchaguzi siku hizi hautabiriki yeyote anaweza kushinda.
njoo tubet 5 kwa 5Hamna sehemu tunaweza kubet hivi kama kwenye mechi
afadhali umueleweshePole hujui Hata ulichoandika..Marekani Ni Super Power among those super power countries.. Sasa Uchaguzi wao NA.mshindi wake mlengo wake kisiasa una effect au impact kwa Dunia Nzimaaa.....America ikiamua Kulipia Dunia kwa Nyuklia Basi Mimi NA wewe hatuna ujanja.Ni Taifa Kubwaa una Military Base yenye Nguvu..Wewe unasema nini...Nyamaza karibu tuangalie uchaguzi unavyoendelea Kwenye T.V
hahah duh nimejichekea huo uchaguzi utakuwa wa mabalozi?ila uchaguzi bado mpaka mwezi 12 nyuma ya siku 6 kabla ya sikukuu
hahah unajifanya hutambui? hillary for presdentJuu ya nini?
For presidencyYessssss.Hillary for president
kabisa mkuu we pray for her.Hillary anashinda uchaguzi kuwa rais was marekani trump hashindi hz sio siasa za ccm na ukawa. hko democracy na uwazi mkubwa sana sio kama Tz anashinda huyu anatangazwa huyu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] really????[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya tuone,kama vipi tubet kabisa.
Au unasemaje?[emoji12]